Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Mkuu

Duru za humu jamvini zinaonyesha kuwa

New CEO ataachia 2023 na kumuachia FDR!

Pia jadi ya wazee wa kanda ya ziwa huko zinasema new CEO anashika KWA muda yupo atakae chukua tena mtiti utaanza mvua ikianza kunyesha hapo oktoba Hadi desemba MWAKA huu!!

Ni kana kwamba kuna nabii za jadi na za kijasusi/kisomi pia kidini zinatabiri jambo linalofanana Hadi kuna majina yametajwa humu jamvini KWA uhakika kabisa Kuwa ndio watakao shika !Hadi unashindwa kuelewa kulikoni!!?

Kuna Mengi Sana yanaendelea AMBAYO hatuyajui kabisa !!

TUSUBIRI
Code hiyo ya FDR, unamaanisha february au mr Planning? Kama ni hao nadhani siyo, Ukiangalia vizuri born town lengo lake ni embe dodo, maana kumbuka embe dodo alishawahi sema dakika ya mwisho atakapo tia wino mwekundu maana yake mpango ulishasukwa late ceo akiondoka current ceo awe bosi na pia wamcheki na kumuondoa
 
FDR :- franklin delano roosevelt na utawala wa Miaka 12 ndani ya TANZANIA,uzi wa Tumia akili !ilitokea marekani itatokea na huku! Mango umri wake mkubwa Sana hawezi tawala KWA miaka 12 hapa Tz!!
TUSUBIRI
 
Mkuu watu wanamnyooshea kidole kwa kufuata mkumbo...

Hii simulizi yetu ya Yoga ina twist nyingi sana...

EMBU TUJIULIZE KAMA NI KWELI HII SIMULIZI JE....
BORN TOWN kama aliamua kujiokoa asichomoke akamuwahi mwenzake Late CEO?
...JE kama kuna vitu havisemwi...?
UNA HABARI BORN TOWN alikuwa anaviziwa na Late CEO amchomoe...

Je... Unafamamu.. Born Town akaambiwa ukikaa vibaya unachomoka... JIWE linakuvizia.... Born Town akaingia kazini kujiokoa...?

..HIVI MKUU MLIKUWA MNAMJUA JIWE VIZURI? AU TUNAMJUA KWA KUANGALIA TV.?

Jiwe lilikuwa linapiga sigara kidogo siku moja moja... Likitoka huko.. Watu wote wanajua leo tumeisha....
Hivi unajua Secretary wa Jiwe aliyeondoka kabla ya mwenyewe kuondoka.. alikuwa anamtuliza sana JIWE asimuondoe KATELEPHONE madarakani... kila mwezi Jiwe likivuta sigara linasema.. natamani aondoke.. wakati ndiye mtendaji bora..

Anyway... Natania.. ..JIWE alikuwa poa..
Tuishie hapa
Hii ya born town kuviziwa na jiwe aondolewe nilisikia sana. But kwann jiwe hakumuhitaji born town? Vipi kuhusu Mr Ben ten? Naye nasikia jiwe alimuRIP,
 
Hii ya born town kuviziwa na jiwe aondolewe nilisikia sana. But kwann jiwe hakumuhitaji born town? Vipi kuhusu Mr Ben ten? Naye nasikia jiwe alimuRIP,
Ben10 inasemekana.. Au inadaiwa... Alikosea kusema wazi kuwa CEO wa Kampuni ni vipindi viwili tuu na sio zaidi...
Sasa yaliyomtokea ni fununu kuwa Jiwe kuu halikulala kwa hasira ya matamko hayo...

Ngoja tuendelee kusubiri simulizi zetu kwenye hii hadithi ya Yoga
 
Huyo kijana sio mtawala wa nchi, ugomvi na Mungu ni kumuua mtawala wa nchi kwasababu hakuna mtawla aliyejiweka, awe mbaya au mzuri
na wewe acha mambo yako ya Udini katika mambo ya madikteta, tumemuona Saddam, Idd Amin na watu wasiomfuta Yesu wanatawala na kuondoka.
Huyo mwendazake alichaguliwa lini na Mungu wetu wakati alikua muuaji, mwizi na mchukua wake za watu, saa hizi anateketea unataka kumlinganisha na hata Nyerere JK (RIP)
 
Ben10 inasemekana.. Au inadaiwa... Alikosea kusema wazi kuwa CEO wa Kampuni ni vipindi viwili tuu na sio zaidi...
Sasa yaliyomtokea ni fununu kuwa Jiwe kuu halikulala kwa hasira ya matamko hayo...

Ngoja tuendelee kusubiri simulizi zetu kwenye hii hadithi ya Yoga
Kwahio mtu akikosea tu kama hivyo adhabu yake ndio kuu namna hiyo 😳😳😳 huko siasani watu wanajiona miungu watu
 
Kama the late CEO angepata watu smart watano naye awe smart, uwezo wake wa kufanya maamuzi magumu yangemshindia vita kadhaa. Alihitaji kutengeneza mfumo thabiti kabla ya kuingia uwanjani.
Hapa tu ndo alipofeli Power sio kila kitu ila u smart tu …
Jiwe inner cycle yake anazungukwa na Paulo ,Slowslow na Yule kijana wa Hai unategemea nini hapo kama si mihemko watu wa kufanya dirty jobs hawaitaji kuwa karibu yako maana wale ni wa kuwatumia na kudump
 
Naam. Watekelezaji wa mission mbali mbali za Mr. born town, ndio kwa the late CEO walikua washauri wakuu. Alipaswa kukaa ndani ya kampuni na kufanya analysis ya kutosha, ajue nguvu na madhaifu ya anaopambana nao. Yeye akapiga uvamizi bila kujua amvamiaye ana nguvu kubwa kumzidi yeye.
 
Back
Top Bottom