Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Mayala Kesha mpongeza yoga ..kwa kutunga..
Yaani fiction kuwa like realy story..

Ulimuelewa mkuu.. au Ni Mimi sikuelewa?!
Ukiangalia Uzi mmoja wa kumstaafisha mstaafu ambaye hataki kustaafu alafu na huu yaani nyuzi za tumia Akili na huu utajua kuna tatizo Fulani hapa Tanzania.kuna vita Fulani.
 
Ni uhakika Ben 10 aliondolewa na Born town, na ni sumu hiyo hiyo iliyomuondoa late ceo. Pia kuna watu wengi walikufa. Ila kambi ya Born town ndani ya kambi ya late CEO walianzisha varangati la uanaharakati wa kusema late ceo kamuondoa ben 10 ili aongezee muda wa kutawala na timu born town walihakikisha late ceo yupo succumbed kwenye kutaka kuendelea kuwa rais hata beyond muda wake, ili timu born town wakimuua ben 10 waseme late ceo kamuondoa ili asipatikane wa kumzuia asigombee 2025. Pia hata mchonga inawezekana born town anahusika kwa 99.999999% kwa sababu ndiye aliratibu kuingia mikataba mibovu ya madini etc. kwa ufupi born town ni mbaya inavyoonekana kwa sababu ni kiongozi wa magenge ya maharamia wa kuhakikisha africa inaibiwa (mtizamo wangu tu). Ila binafsi born town napenda ambavyo anasuka mitandao yake, yupo smart
Ninavyojua mtaji wa maskini A.K.A Mr Ben ten alipigwa tafu na faza of the kampuni kuwa CEO. Kipindi hicho born town alikuwa moto balaa ila faza akamatuliza akamwambia we bado dogo muache braza Wako Mr Ben 10 then you will be the next. Sasa iweje Ben 10 amuRIP faza of the kampuni wakati ndio alimbeba? Iweje born town amuRIP Ben 10? Ninavyojua mimi the late CEO ndio alimuRIP Ben 10 na sio born town.
 
Ktk siasa hicho ni kitu Cha kawaida sana , soma history ya Dunia vizuri utaelewa maisha ya siasa yalivyo Kuna viongozi wamewahi kukaa madarakani Kwa kuwaua mpaka baba zao ..

Mfano mdogo ni kifo Cha Patrice Lumumba na Rafiki yake mobutu
 
Ninavyojua mtaji wa maskini A.K.A Mr Ben ten alipigwa tafu na faza of the kampuni kuwa CEO. Kipindi hicho born town alikuwa moto balaa ila faza akamatuliza akamwambia we bado dogo muache braza Wako Mr Ben 10 then you will be the next. Sasa iweje Ben 10 amuRIP faza of the kampuni wakati ndio alimbeba? Iweje born town amuRIP Ben 10? Ninavyojua mimi the late CEO ndio alimuRIP Ben 10 na sio born town.

Hiki nini umeandika bila aibu?
 
Kumekuchaaa
Mkuu
Tena born town
Ameanza RASMI kisukuma kete zake

Juzi kaanza na u chief kwenye kampuni

Huku mr mango akimsifu new CEO kwa kumpamba kuwa ameshapita Hapo 2025 Ili kumzubaisha WAKATI wakicheza yao kwa Siri!!vita hii itasababisha apenye tusio mtarajia na kupewa u CEO na kuwa FDR!!

TUSUBIRI
 
Ni dhahiri Current CEO anapaswa awe mjanja. Walianzia mbali mno kumfanya mjinga. Waliandaa mpango wa yeye kukiri eti 2025 ni wanawake, na wakaendelea kumshawishi ni yeye tu 2025, wakaandaa tukio sumbawanga kalemani akatawazwa kuwa chief huku watu wale wa jadi wakijisemea wewe ndiye rais ajaye watu wa born town wakamrekodi e bana current ceo kapelekewa kideo eti kuna mtu anautaka ucurrent ceo wako, kalemani alifukuzwa kama mbwa, hivyo kambi ya born town ikawa imefanikiwa hatua moja ya kumfanya ajione yeye ndiye wana mpigania kwenye kiti 2025. Waliona haitoshi ili kumuaminisha zaidi timu ya born town ikamchonganisha na kwa wala mbwa na jalala, e bana mama akaibuka tena. Sasa inavyoonekana wamejipanga kabisa current ceo anaweza asifike 2025 maana wao walitaka akatae awarudishie kiti wenye kukipigania tangu 2015 ila yeye mbishi na anakomaa na ndiyo maana maembe kaja na mkakati wa kumpamba current ceo kwanza ili ajisahau na kabla ya 2025 current ceo aondoke ili dodo embe achukue ingawa February naye yupo, sijui hii vita itakuwaje
 
Ni dhahiri Current CEO anapaswa awe mjanja. Walianzia mbali mno kumfanya mjinga. Waliandaa mpango wa yeye kukiri eti 2025 ni wanawake, na wakaendelea kumshawishi ni yeye tu 2025, wakaandaa tukio sumbawanga kalemani akatawazwa kuwa chief huku watu wale wa jadi wakijisemea wewe ndiye rais ajaye watu wa born town wakamrekodi e bana current ceo kapelekewa kideo eti kuna mtu anautaka ucurrent ceo wako, kalemani alifukuzwa kama mbwa, hivyo kambi ya born town ikawa imefanikiwa hatua moja ya kumfanya ajione yeye ndiye wana mpigania kwenye kiti 2025. Waliona haitoshi ili kumuaminisha zaidi timu ya born town ikamchonganisha na kwa wala mbwa na jalala, e bana mama akaibuka tena. Sasa inavyoonekana wamejipanga kabisa current ceo anaweza asifike 2025 maana wao walitaka akatae awarudishie kitu ila yeye mbishi na anakomaa na ndiyo maana embe kaja kwanza ili 2025 achukue ingawa February naye yupo, sijui hii vita itakuwaje
Mkuu

Duru za humu jamvini zinaonyesha kuwa

New CEO ataachia 2023 na kumuachia FDR!

Pia jadi ya wazee wa kanda ya ziwa huko zinasema new CEO anashika KWA muda yupo atakae chukua tena mtiti utaanza mvua ikianza kunyesha hapo oktoba Hadi desemba MWAKA huu!!

Ni kana kwamba kuna nabii za jadi na za kijasusi/kisomi pia kidini zinatabiri jambo linalofanana Hadi kuna majina yametajwa humu jamvini KWA uhakika kabisa Kuwa ndio watakao shika !Hadi unashindwa kuelewa kulikoni!!?

Kuna Mengi Sana yanaendelea AMBAYO hatuyajui kabisa !!

TUSUBIRI
 
Wengi sana hawaijui Nchi Yao, IPO haja mitaala yetu yarudishwe masomo ya kuimarisha uzalendo.

Hawaijui Nchi hii vizuri, Juzi tu ndo wengine wamekuja jua hata Putin aliishi hapa kwetu kujiimarisha kimafunzo na kushare ideas.
Sio kwamba Putin alikuja kutufundisha? Inavyosemekana lkn
 
Back
Top Bottom