Kama umesoma story hii neno kwa neno utakuwa Umegundua kitu, ila kama hujui kufungua code utakuwa gizani ndugu.
Ni kwamba old CEO aligundua kuwa wapinzani(baadhi) ni njaa tu ndio tena ni wanafiki wakubwa waliopandikizwa na born town ili kulinda enzi yake. Hivyo old CEO alianza kuwanasa kwa kuwanunua, na alipoona wananunulika kirahisi mwanaume akaazimia kuwafutilia mbali watoke kabisa na wasiingie mjengoni wapuuzi hao.
Msome vizuri yoga ktk hii story kisha linganisha na matukio yote yaliyopita (hata yajayo) na utapata jibu kuwa nchi yetu imechezewa sana na inaendelea kuchezewa na wahuni wachache wakiongozwa na Mr born town.