Dark days 17/03/20...

We waache wajifanye wana uchungu kuliko wote.
 
Usmart wake nadhani upo kwenye kukusanya taarifa za siri kwa njia za siri ili kutimiza azma yake. Kwa kweli huyu Born town sio wa mchezo aisee!

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
Hakuna smart man aliye hai, masmart wa ukweli walishakufa na walituachia vitu vya tija tunavyovitumia hapa duniani, huyo godfather uchwara ni kibaka tu wala hana usmart wowote ndio maana kanasa kwenye ulimbo wa paka, borntown is naked now kavuliwa mavazi yote na paka hana ujanja wowote, tulia tangazo lipo njiani πŸ˜„
 
A 05 na c 04 tunaomba msaada mkuu

nimeandika -C04 sio C04....
C04=+C04....... in 04 kulikuwa -C04...

A ni 1st alphabet kwenye kale kawimbo.
05, 04 is the number in series starting 01...

usiumize kichwa sana acha ibaki hivyo tu...

ila A04 huwa mara nyingi anachokozwa tena hadharani na gizani ila yeye majibu yake huwa ni hatari sana maana anawakilisha idara mbili muhimu sana and every his doings its signed, he has been taught that from his trainings....he is the son of them, both strong and highly respected dudez...
 
Hivi paka ndiyo nani mbona anakuzwa sana?
 
Born town alikugongea dem nn
 
Naona sindano inafanya kazi hadi imeshindwa kujenga hoja unaweweseka tu.

Tulia mjomba wako keshavuliwa mavazi na paka, next ni kumchapa fimbo tu [emoji1]
Ila me najiuliza sana,iv ndugu ulo radh kumfurahia paka kumuangamiza borntown?mm binafs siko team borntown kwa anayotufanyia hapa kwetu,,ila kwa paka vs borntown niko upande wa borntown
 
Ila me najiuliza sana,iv ndugu ulo radh kumfurahia paka kumuangamiza borntown?mm binafs siko team borntown kwa anayotufanyia hapa kwetu,,ila kwa paka vs borntown niko upande wa borntown
Jiandae kwa maombolezo paka keshatamalaki borntown hachomoiπŸ˜‚πŸ˜‚

Anyway ni hekaya tu usihuzunike sana mtumwa wa borntown 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…