Corosive
JF-Expert Member
- Oct 16, 2020
- 1,460
- 2,908
We waache wajifanye wana uchungu kuliko wote.Mfianchi bila shaka hujawahi minywa korodani [emoji23][emoji23]
Unapoingiza majina halisi ya watu hapa unafanya hii kuwa ni story ya kweli, kitu ambacho yoga amesisitiza hii ni hekaya tu ya kuburudisha, sasa Ukianza kuleta majina ya kina nani sijui, mara oooh huyo ni deshi deshi utajitafutia balaa bure [emoji1]
Mbaya zaidi yoga hataminywa kende hawatampata [emoji16]ila wewe utapatikana na utaminywa ili ufunguke kwa nini unatoa siri za wakubwa.
NB: yoga ndiye katoa tahadhari msitaje majina ya watu ambao yeye hajawataja ktk hii story.
Jitahidi kuelewa man.