Dark days 17/03/20...

Asante Sana kwa ufafanuzi. Nimekuelewa. Ubarikiwe. Tuendelee kujifunza zaidi.
 
kuna unabii ulikuwa unaandikwa kwenye gazeti la TAZAMA lililokuwa linatoka kila jumanne kwa wiki mwandishi anaandika kama wewe..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee
 
Narudia tena this is a story haiusiani na chochote please [emoji16][emoji16][emoji16] tusome tu!! Nothing sereous!!
Kuna mtu kaniambia Mshana dark days ni coded thread yenye kugusa maslahi makubwa ya wakubwa..MAKINIKA NAYO..! Tangu hapo nimeuogopa huu uzi[emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
 
Mkuu
Hakuna adventists wa kweli KABISA anaekubali mafundisho ya UTATU mtakatifu Eti Mungu baba,mwana na Roho mtakatifu labda Adventist wa mchongo!!!
Hao adv.....nao wamekwama, hawaamini juu ya Roho mtakatifu pia hawazijui codes au lugha za Mbinguni na za Malaika.


Mungu ni MMOJA, Roho mtakatifu ni Roho alietumwa na Yesu baada ya kupaa Mbinguni.

KAZI yake ni kukaa ndani na kuwafundisha wamwaminio Yesu wasipotee.

Anawapa wamwaminio uwezo wa kulifungua na kulitumia ''JICHO'' la ROHO, kuingia Ulimwengu wa ROHO kupitia NURU.

kule gizani wanalitumia kuingia Ulimwengu wa Giza. Wanaliita ''JICHO'' la tatu lipo katikati ya paji la uso.

Wale wa mbali GIZANI wakiwa kwenye madhabahu zao zipo CODES za lugha wazitumiazo kuwasiliana na mamlaka za juu Ili kupata majibu ya maswali ya watawaliwa.

Vile vile Wamwanio Yesu, YESHUA au ISSA, walipewa uwezo wa kutumia lugha hizo za CODES Ili kuwasiliana na mamlaka za JUU sana za NURU kuanzia MBINGU ya NNE Hadi ya SABA.

Lugha hizo kuwekwa ktk Codes ni kuwaficha mapepo na mashetani wasijue mkristo aombacho Kwa Mungu juu, maana hawazijui lugha za Mbinguni na za Malaika.

Cha kushangaza ni kuwa Codes za gizani Mungu aliye juu ana mamlaka kuzifungua ndomana Siri zao Huwa zinavuja.

Biblia Ina Kila kitu wazi, bt hizi Dini wanachukua baadhi na kuacha mengine.

Pia wanatafsiri maandiko vibaya kuwapotosha wavivu wa kusoma na kufungua codes kupitia ROHO Mtakatifu.

Aliye na JICHO la ROHO la NURU kupitia ROHO Mtakatifu Hana haja ya kutabiriwa na wahuni, au kunyweshwa maji ya wafu sababu ANAONA Kila kitu.

Tunapoekekea ukianza Utaratibu wa DINI moja ya MPINGA Kristo,Dini zote zitayeyuka, na watu wote watakaopinga watajikusanya na kuungana, vuguvugu Hilo la kujikusanya limeshaanza underground.

Amen.
 
Jicho la tatu !!!?Nilijua ni mambo ya giza AMBAYO hata MUNGU Mwenyezi hayataki yakiendana na ulozi hasa uchawi kiasi KWAMBA ninchukizo mbele za Mungu!!!
Mafundisho ya kulifungua yapo HUMU kupitia meditation!!!
Sasa SIJUI kulifungua kiroho ndio Hivyo au lah!!!?
JOCHO LA TATU NA MAMBO YA KIROHO !!!?
JAMBO JIPYA KABISA HILI AISEH!!?
Baadhi ya mafundisho yaliyoachwa ni pamoja na kitabu cha henoko!!!?Book of Enoch!!!?
 
Kitabu Cha HENOKO walikificha warumi na Wayahudi wasiomkubali Kristo.

Ulimwengu wa ROHO ni mmoja.

Inategemea sasa unaingiaje ikiwa ni kupitia GIZA au kupitia NURU.

Kama Unaamini katika Mungu mmoja na unamwamini Yesu ni DHAMBI kujifunza kulitumia Hilo JICHO la tatu.

Ingia Ulimwengu wa ROHO kupitia MAOMBI, Roho Mtakatifu yupo kuonyesha Yote yalojificha. Amen
 
Wewe msabato unaleta hekaya zako.
Eti misri ya kiroho ni Tanganyika?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…