Dark days 17/03/20...

Habari ya mchana leds and gents!! [emoji123][emoji123] Hope tuko fine!!

After a long break na majukumu ya hapa na pale, And As we are about to drop season 2,

Kama unaswali niulize takujibu tuuu!! Karibuni[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji123]
Wewe Yoga hujatumwa na PK kweli wewe?
 
If its true, pole sana kipenzi!! Anyways sina conection hiyo ila kuna wahusika wako humu wanapita pita hapa watakusaidia!! Pole sana

#seen#

If its true, pole sana kipenzi!! Anyways sina conection hiyo ila kuna wahusika wako humu wanapita pita hapa watakusaidia!! Pole sana

#seen#
This is naked truth sikupenda kujiweka wazi katika huu uzi ila imenibidi mimi mtoto wa mkulima nisiye na mtu wa kuweza kunishika mkono kunitoa Rufiji.
 
Umetumia njia gani kujua kuwa neno NYIKANI ni TANGANYIKA?
 
Yoga tumeona mwaka huu kumetulia sana hakuna vifoo wala taharuki vp mwakani usalama itakuwepo au ndyo mmoja mmoja ataanza kuanguka

Umetumia njia gani kujua kuwa neno NYIKANI ni TANGANYIKA?
Huo ni unabii.

Ok dig deep maana ya Tanganyika na mipaka yake kabla ya ujio wa WAKOLONI ilianza na kuishia wap.

Nenda pia Lango la jiji, kawaulize wazee maana ya ''Bandari salama''.

Nenda ktk historia, uliza pia ilikuwaje hapa kukawa center ya ukombozi wa HARAKATI za ukombozi Afrika nzima na kimbilio la wote WALIODHULUMIWA HAKI.

MISRI ndipo alipokimbilia Mary na mtoto Yesu Kutoka Israel mara ya kwanza kuepuka mtoto kuuwawa na Pirato.

MISRI ya rohoni IPO Africa. Mto NILE umeanza nyanza Hadi MISRI. Chanzo ni hapa.

Mto NILE umetabiriwa kukauka, unadhan Israel na MISRI time hii watakambilia wapi kufuata maji?

Kikombe Cha Loliondo kilileta watu karibia Kutoka pande nyingi za Dunia ingawa kilitoka Kuzimu.

Yajayo yatakuwa zaidi ya hapo, Dunia nzima watakuja kupata pumziko hapa.

Amen
 
zanzibar alishatoka?mtu mwenye roho mbaya duniani hakuna.
 
Jana hayo nilikuwa nasikikiza kwenye SINEMA pale kanisa la SABATO.ngoja tusubiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…