KWAMBA!
Baada ya mapambano meengi Sana! kuumizana,kuuana,kutukanana,kusaidiana,kuacha legacy na kulitumukia TAIFA!
Kuna dhambi pia nimefanya sasa ni bora nikahiji nisamehewe dhambi niwe msafi kama Mtoto niliyezaliwa leo!
Ndipo nilipe sasa lile agano nilioingia na mungu wa Dunia Baada ya kunipigania na kufikia ndoto zangu!!ndipo nikamalizie safari yangu huko akhera(kuzimu) nilipopatia utajiri na heshima za kidunia!!
Nimuage na mke wangu kwa hija kengele imeshalia !!
Buriani !mtaniandika kwenye kitabu cha kumbukumbu!!!
NAJARIBU KUWAZA KWA SAUTI!WAKUBWA WANA MENGI SANA MIOYONI MWAO!!