NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Wapo selective Sana kijana wa mkuranga akapona Hadi leo!! AISEH!!Hiki ndo kikao kilichokuwa Cha mwisho hapa duniani, kwa hao vigogo wawili baada ya kutoka hapo kila mmoja kwanza kuumwa.
Umeniwahi mkuu, hawa wanaoleta mambo ya kanisa wamerukia tu huu uzi na kutaka kuuharibu mwenyewe Yoga alishaufunga hawa wa kwa Kakpbe/mwingira wantujazia inzi kwenye mada tofauti.Oyaaa... nyie wa kanisani kaeni pembeni.. mnazingua. Sisi tuko hapa kwa mada ingine nyie mnaleta mambo mengine. Mnaboaaaaaaaa. Mnahimisha mada kabisaa
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Na alianza chuki na mwendazake baada ya kukemewa kwa kujifanya yeye msemaji wa wizara ya CovidKuna comment nimeisoma mahali inasema
"huyo dr. mj ni hatari sana" nimewaza kwa nini ayasema haya?
Hata utoke mapovu vipi nae BT atarudi mavumbini tena kwa mateso na kusaga menoACHA UJINGA bila BT hii Nchi ilitaka kua ya kishamba sana, Mwendazake angetawala Milele
Ni nani angemnyamazisha yule Dikteta aliyeko Jehanamu, kawatanguliza kna Ben saa8, Akwilina, Azory,
kazalisha wake za watanzania wenzake.
wewe ndio utatangulia Jehanamu na Borntown Peponi tunamuombea
Keep waitingHata utoke mapovu vipi nae BT atarudi mavumbini tena kwa mateso na kusaga meno
πππππππππππππππHiki ndo kikao kilichokuwa Cha mwisho hapa duniani, kwa hao vigogo wawili baada ya kutoka hapo kila mmoja kaanza kuumwa.
ID boss. Mch! Au?Ni KP bwana[emoji23]
Kwahiyo hapo wako naked ukitoa hayo majoho ,sio ?
[emoji1][emoji1][emoji1]Kwahiyo hapo wako naked ukitoa hayo majoho ,sio ?
[emoji23]The new boss alijaribu ku-mess up na born towns...yaliyomkuta wote tunajua
Kwa faida ya Nchi Born Town lazima apumzike. Atake asitake. Hakuna kiongozi atafanikiwa kama huyu Bwana yuko hai.
Iyo mashine nyingine, may be Afe tokana na mda wake fika Duniani ila sio kwa michezo ya kijinga, mtu unapesa , unajua michezo michafu unakufaje KWA michezo ya kijinga? May be Kama hujui Dunia inaenda vipi na hu mshamba,sasa mwamba sio mshamba, Kuna sehem alikuepo, checkup ya mazingira yake ya kukaa sio ya kitoto , nilijaribu google ile mashine ndogo tu kama sim, sijapata ila anaejua aniambie nami niagize Kama haina mlolongo wa kuipata KWa matumizi yangu binfsi, ile ngoma naitaka, hivi mtu amekaa serikalin miaka kibao alafu atishwe na vitu vidogo? Wanaomtafuta wataondoka mmoja baada ya mwingine,ila yeye yupo acheni michezo wajombaKeep waiting
1. I seee kuna watu wana bahati, yule mzee mwenye miaka 98-1 + 0=.......ana bahati sana. Yaani watoto wake wawili wamebahatika kuwa ma ceo wa kampuni? Duh kweli walisema. Mtoto wa mchepuko lazima awe na akili ona alivyokuwa anavushwa vushwa madarasa kisa ana akili dah. Basi atakuwa na raha ndo maana kaishi sana. Kumbe ni katoto kake ka siri. Basi kuna watu watapinga, haya kabla ya kunipinga uje hapa uniambie baba yake ni nani? Mchepuko oyeee hata mimi nimetamani nizae katoto kangu ka kwanza na mtu mkubwa huwezi jua kakaja kuwa ka CEO ka kampuni.
Hapa nawaza wakikutana huwa wanaongea toto na dingi ake dah kweli alicho nacho ataongezewa, na ambae hana hata hicho kidogo atanyanganywa. πππ
2: Aaaaaaaa kumbe kile kiti ni cha moto huwezi kukikalia hivi hivi eeh? Unaambiwa kabla hajakikalia ilibidi apelekwe baharini akafanyiwe maombi siku tatu. Mwenzio kakikalia kachomolewa gafla wewe utaanzage kukikalia tena mimi nilivyo muoga ningeombewa baharini mwezi mzima kabisa.
Tusome vitabu bana hii kitu bila kuingia maktaba ukasoma huwezi ielewa. Hiyo no moja nilikuwa naichanganya na ya yule mtoto mwenye visima vingi vya kuchotea mawese ya kula .kama hujaelewa utajua mwenyewe.
Afu watu mnaotaja watu kwenye hii simulizi ya yoga sio vizuri , hii ni simulizi kama simulizi nyingine. Ila watu mnachukulia kweli duh.
what if ben akaibuka akiwa hai na kusema sijafa nikikuwa sehemu fulani hizi kauli zako utaziweka wapi?Aliyemuua ben saanane naye anaoza muda huu.
Nitaziweka m@t@c0ni mwakowhat if ben akaibuka akiwa hai na kusema sijafa nikikuwa sehemu fulani hizi kauli zako utaziweka wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani taratibu basi wapendwa yoga anatuchora tu tunapolumbana [emoji14]katulia tuli.Nitaziweka m@t@c0ni mwako
nashukuru kwa tusi lako ila nakusihi matusi isiwe option yako ya kwanza kuwajibu wale wote usiokubaliana nao.Nitaziweka m@t@c0ni mwako
Hahahaaaa hahahaaaa hahahaaaa nimecheka hadi machoziNitaziweka m@t@c0ni mwako