Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Target is locked ............

Mark the day.......

The day 20/07/2022, it is mid night, but some people arent sleeping!!

one of the historical moment in mr born town's company!

Now we can start season 2 .............

The Pandora box is opened.

Stay safe current CEO and thank God for what has just happened!! Your safe ..........

15th of Agust!! Season two itakua hapa!!

Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app
😂 😂 😂 😂 Umeeleweka 'Mdada"..
 
frm 20julai to 15agust 2022,siku km 27 hv, tutakusubiri
 
Target is locked ............

Mark the day.......

The day 20/07/2022, it is mid night, but some people arent sleeping!!

one of the historical moment in mr born town's company!

Now we can start season 2 .............

The Pandora box is opened.

Stay safe current CEO and thank God for what has just happened!! Your safe ..........

15th of Agust!! Season two itakua hapa!!

Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app
Such a nice story.

Hadithi Njoo, uongo Njoo, UTAMU koleaaaa.😃😃😃😃
 
Asante kaka[emoji28] ubarikiwe sana

Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app
Kuna kanjanja mwenzako anaitwa samurai anawalaghai watu anajifanya anayajua ya ulimwengu usioonekana.

Maneno meengiii kujitia jasusi kumbe mchawi wa kawaida sana.

Wala hakuna jipya hapo. Tunatambua, marais wengi sio BINADAMU.

Mnawalaghai laghai wajinga tu.
 
Good

Nilipoona picha ya Bt Kule hija ikisambaa mtandaoni!Moyo ulishtuka Sana nikajua tayari anaaga kabisa!!!

Nikakumbuka na swali la mkewe Kule kikaoni kuhusu malipo ya wastaafu wake za ma CEOs wawe wanalipwa mishahara! nikajua ana hofu ya kua mwenyewe soon pale godfather akienda hell!!!

Nilipotazama ile picha ya Bt usoni kuna weupe fulani hv wa kupauka Sana kama mtu mweusi aleungua na maji akapona Huwa anapata makovu FULANI mekundu hivi nikaona ule sio weupe wa Nuru ninaoujua Mimi!!

Now tagert is locked!!? current CEO is safe!!? pandora box opened!!?mid night 20/7/2022 a history in Bt company!!!?

I can conclude that the company now is going to be free!!!

Let's wait!!

Hata Tumia akili Alishaaga KWA kusema hii" imekamilika aga kabisa maana hutorudi""!
KWELI Hii ni stori tu!!
Ndugu kama una ndoto za kuwa Kiongozi ndani ya KAMPUNI yetu ni usizime ndoto zako.

Baada ya Katiba mpya chagua Jimbo lolote, Usiogope.

Ifike mahala wadau muhimu watoke nyuma ya keyboard kulead members wa kampuni.

Ameeen
 
1. I seee kuna watu wana bahati, yule mzee mwenye miaka 98-1 + 0=.......ana bahati sana. Yaani watoto wake wawili wamebahatika kuwa ma ceo wa kampuni? Duh kweli walisema. Mtoto wa mchepuko lazima awe na akili ona alivyokuwa anavushwa vushwa madarasa kisa ana akili dah. Basi atakuwa na raha ndo maana kaishi sana. Kumbe ni katoto kake ka siri. Basi kuna watu watapinga, haya kabla ya kunipinga uje hapa uniambie baba yake ni nani? Mchepuko oyeee hata mimi nimetamani nizae katoto kangu ka kwanza na mtu mkubwa huwezi jua kakaja kuwa ka CEO ka kampuni.
Hapa nawaza wakikutana huwa wanaongea toto na dingi ake dah kweli alicho nacho ataongezewa, na ambae hana hata hicho kidogo atanyanganywa. [emoji3][emoji3][emoji3]

2: Aaaaaaaa kumbe kile kiti ni cha moto huwezi kukikalia hivi hivi eeh? Unaambiwa kabla hajakikalia ilibidi apelekwe baharini akafanyiwe maombi siku tatu. Mwenzio kakikalia kachomolewa gafla wewe utaanzage kukikalia tena mimi nilivyo muoga ningeombewa baharini mwezi mzima kabisa.

Tusome vitabu bana hii kitu bila kuingia maktaba ukasoma huwezi ielewa. Hiyo no moja nilikuwa naichanganya na ya yule mtoto mwenye visima vingi vya kuchotea mawese ya kula .kama hujaelewa utajua mwenyewe.

Afu watu mnaotaja watu kwenye hii simulizi ya yoga sio vizuri , hii ni simulizi kama simulizi nyingine. Ila watu mnachukulia kweli duh.
Zaa n MUSIBA
 
Target is locked ............

Mark the day.......

The day 20/07/2022, it is mid night, but some people arent sleeping!!

one of the historical moment in mr born town's company!

Now we can start season 2 .............

The Pandora box is opened.

Stay safe current CEO and thank God for what has just happened!! Your safe ..........

15th of Agust!! Season two itakua hapa!!

Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app
Hesabu 23:19

Mungu Si mtu, aseme uongo;
Wala Si mwanadamu,ajute;
IWAPO amesema, hatalitenda?
IWAPO amenena hatalifikiliza?

Future ya KAMPUNI yetu imo mikononi mwa Mungu, na Si WANADAMU,

Ukiamini Imetimia.

Ameeeen.
 
Kuna kanjanja mwenzako anaitwa samurai anawalaghai watu anajifanya anayajua ya ulimwengu usioonekana.

Maneno meengiii kujitia jasusi kumbe mchawi wa kawaida sana.

Wala hakuna jipya hapo. Tunatambua, marais wengi sio BINADAMU.

Mnawalaghai laghai wajinga tu.
Kwanza nikushukuru kwa kuchukua muda wako na kuisoma "hadithi" hiyo juu! Asante sana mkaka!!

Pili nikushukuru kutoa mawazo yako kuhusu "hadithi hiyo hapo juu" nashukuru sana!!

Mwisho niombe kukukumbusha hadithi ulioisoma haijamtaja mtu, au kuwazungumzia watu ambao nimeona unataka wahusisha!

Niendelee kukujulisha kuwa natambua kuwa yaweza kuwa hadithi hiyo imekukwaza niseme pole saa na haikuwa dhamira ya fanani!!

Ila kuna msemo literature is a mirror of the society!! Na kila mmoja yupo free ku interprete alichokisoma from his/her point of view!!

Ubarikiwe sana!! Tukutane 15agust 2022 kama utapenda!!

Good.

Tuone hiyo tarehe nini kitajiri.

Halafu nitarejea hapa kwenye huu uzi.
 
Back
Top Bottom