Dark days 17/03/20...

polonium 204 killed Arafat 👇🏻 hapa kwetu wakifanya investigation hata kama ni miaka 100,bado watapa jibu litatoka tu kilichosababisha


 
Target is locked ............

Mark the day.......

The day 20/07/2022, it is mid night, but some people arent sleeping!!

one of the historical moment in mr born town's company!

Now we can start season 2 .............

The Pandora box is opened.

Stay safe current CEO and thank God for what has just happened!! Your safe ..........


15th of Agust!! Season two itakua hapa!!

Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app
 
Haaaa😎😎😎😎😎
 
Seriously????
 
sawa tuko pamoja ,the saga continue
 
Good

Nilipoona picha ya Bt Kule hija ikisambaa mtandaoni!Moyo ulishtuka Sana nikajua tayari anaaga kabisa!!!

Nikakumbuka na swali la mkewe Kule kikaoni kuhusu malipo ya wastaafu wake za ma CEOs wawe wanalipwa mishahara! nikajua ana hofu ya kua mwenyewe soon pale godfather akienda hell!!!

Nilipotazama ile picha ya Bt usoni kuna weupe fulani hv wa kupauka Sana kama mtu mweusi aleungua na maji akapona Huwa anapata makovu FULANI mekundu hivi nikaona ule sio weupe wa Nuru ninaoujua Mimi!!

Now tagert is locked!!? current CEO is safe!!? pandora box opened!!?mid night 20/7/2022 a history in Bt company!!!?

I can conclude that the company now is going to be free!!!

Let's wait!!

Hata Tumia akili Alishaaga KWA kusema hii" imekamilika aga kabisa maana hutorudi""!
KWELI Hii ni stori tu!!

Nakazia tena tuimbe kwa pamoja wimbo wetu;-

"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe katiba mpya""!
 
Tutarajie spinning za kufa mtu kama ilivyo Sasa!ziara kibao !kule katelephone,hapo marope ,katikati kisiwani pale kijana mpole nae akijimwambafai, Mjoli nae ame cool kiaina Baada ya kazi kubwa ya ziara ya KILA Jimbo na wilaya kule kanda ya maji ya nyanza!!
Pia lile tawi jipya linaloungwa mkono hadi kampuni jirani limekaribia kupata usajili Rasmi tawi linaenzi late CEO!

Yote KWA yote nasisitiza!

Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA!!
 

Ile picha ilileta gumzao sana huko mitandaoni, yule jamaa wa pemben na bt watu walisema ni hatari sana. Japo ni dkt wa kitengo cha bt.
 
ili picha ya bt na mj ilikua na kama ka ujumbe fulani.
 
Huna lolote, tapeli mshenzi tu wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…