Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Huu ujumbe ambao YOGA amewai kuandika kwenye Instagram yke.

Tazama picha vzur.
_20220808_033149.JPG
_20220808_033213.JPG
_20220808_033127.JPG
 
View attachment 2317381
Tuko busy na kusimamia uchaguz wa majirani tukiwa njema [emoji1]
Mchezo ulishaisha tangu hapa.Odii kapigwa za uso dk za mwishoni ndio anakuja kustuka BT yupo kwnye mission.
msanii pendwa nae kuwepo kwenye mkutano wa kufunga kampeni za uchaguzi wa kumtafuta CEO mpya wa Kampuni ya nchi jirani pia ni nayo ni trick.muda utasema. yoga
 
Unataka kusema je ?najua odii atukua president wa muda mfupi tu pale kenya yupo atakayeishika nafasi yake kisawa sawa ila sijajua uhusiano unataka kuleta na bt
 
Mchezo ulishaisha tangu hapa.Odii kapigwa za uso dk za mwishoni ndio anakuja kustuka BT yupo kwnye mission.
msanii pendwa nae kuwepo kwenye mkutano wa kufunga kampeni za uchaguzi wa kumtafuta CEO mpya wa Kampuni ya nchi jirani pia ni nayo ni trick.muda utasema. yoga
Kama sio Dhahabu atakuwa nani sasa! Maana zinaiva kweli na BT, na nadhani huwa anamtumia kwenye mission zake, dhahabu ni loyal sana kwa BT
 
Tunaishi lakini kuna watu tayari wameshaanza kutu drive kwenye system yao ya one world order.
Bt ni agent mdogo sana kwao lakini mkubwa sana kwetu.
Mambo yanayozidi tokea duniani yanathibitisha hii
Umenena vyema,

Huku kwetu, hapa nyumbani, hao wazee wa NWO watachemsha, litasimama JABALI litakalotikisa Ulimwengu,

Namuona lakini Si sasa, NYOTA itang'aa tena , ni karibu, Si mbali.

Ameeeeen.
 
Back
Top Bottom