Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
hahahaha naona unaunga dotsKwamba
Mzee,Bt na current CEO wote waondolewe kwenye kampuni sio!!?
Ndipo FDR aje aibuke hapo Baadae (uzi wa Tumia akili)
Kitabu kikamilike cha Mzee WETU warioba sio!!
Kumbe Bt akienda kuzuia mr jaluo asiwe sio!!?
Sawa
Am sorry the originals and kudos !Good work!
"Rasimu ya warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA mpya"!
Akili mingi huyo ....Mzee ni mk...u..c..ch...ka!!
Alafu mstaafu baada ya kupelekwa kule kwa maraigwan ni kama kumetulia! Sisi tuendelee kula kande kuna watu hawalali kuiweka hii company safe ...2023/2024 kuna matukio makubwa makubwa sana yatatokea hapa kwetu.
Hahaaaa nakubali mkuu, mzee wa hamia Burundi atakuwa ndo yyAtakuwa Tozo King wa Finance
Iliundwa dipusteti ndani ya dipusteti kisha hiyo mpya ikameza ya zamani na hiyo ya zamani ndo inafurukuta kurudi kazini je itaweza? Kila mjanja na mjanja wakesasa dip state inawezaje kuwa dip state kwa kusambaratishwa na mtu mmoja BT.
kuisambaratisha dip state maana yake nawewe ni zaidi ya dip state.
Miongoni mwa jamaa ambao watakuwa multi millionaires akistaafu ni jamaa. Ila Tanzania raha sana yani ukiwa kwenye nafasi tu kama hio lazima uwe Don ukishindwa we mzembe.Hahaaaa nakubali mkuu, mzee wa hamia Burundi atakuwa ndo yy
We have witnessed it more than once that Danganyikans have no balls at all!No Time huru, No uchaguzi, No KATIBA mpya no Uchaguzi. Wait and see.
Una uhakika ndumba zinaweza saidia mtu kutoboa?Miongoni mwa jamaa ambao watakuwa multi millionaires akistaafu ni jamaa. Ila Tanzania raha sana yani ukiwa kwenye nafasi tu kama hio lazima uwe Don ukishindwa we mzembe.
Unakwarua billions unaenda kuziweka uswizi. Ukicheki mke utakuta ni mama wa nyumbani tu ila anamiliki Yutong za kutosha 😂😂😂!!! Acha watu waroge tu hamna njia rahisi ya kuwa tajiri bongo kama kupita kwenye siasa.
Hamna mwanasiasa wa kibongo ambaye hajakanyaga kwa sangoma😂😂😂! Soma tena kwa sauti.Una uhakika ndumba zinaweza saidia mtu kutoboa?
Iliundwa dipusteti ndani ya dipusteti kisha hiyo mpya ikameza ya zamani na hiyo ya zamani ndo inafurukuta kurudi kazini je itaweza? Kila mjanja na mjanja wake
Ndomana members walianza DHARAU d.ste maana walikuwa wanajijenga wao Si Nchi.Iliundwa dipusteti ndani ya dipusteti kisha hiyo mpya ikameza ya zamani na hiyo ya zamani ndo inafurukuta kurudi kazini je itaweza? Kila mjanja na mjanja wake
Daah aisee inasikitisha sana. Utafikiri hawatakufa but siku moja watakuwa down wanaliwa na funza.Kuna video ya mbugani inazunguka now! Kuna vitu ukiunga dot utabaki kutikisa kichwa!
According to Yoga he was one of them and diveded them, weakened them and created 'new' using some of them, understand?if somebody can overthrow the dip state and take the charge, what do you think of him. Is the dip state weak to be overthrown? never happen in the world brother.
Unawezaje kucounter back kwa mtu ambaye ni mmiliki wa dip state with all the facilities and networks na nchi ikabaki salama?
Hahahhaaaaa usisahau kazi ya mchwa ni kula, acha wale asali kwa sasaNdomana members walianza DHARAU d.ste maana walikuwa wanajijenga wao Si Nchi.
KAZI alikuwa akifanya uncle ilikuwa ni Kwa maslah ya members, watu wanatukana tu bila kujua.
Ile dst ya Mchonga inarudi na kitabu kitasaidia kampuni kupaa tena.
Kitabu kipya before 2028!!! Aliye juu amewafunulia Walio wake kitabu kuja 2026!!!!
Raha sana kuwa agent wa Mbinguni.
Ameeeeen.
Ndomana members walianza DHARAU d.ste maana walikuwa wanajijenga wao Si Nchi.
KAZI alikuwa akifanya uncle ilikuwa ni Kwa maslah ya members, watu wanatukana tu bila kujua.
Ile dst ya Mchonga inarudi na kitabu kitasaidia kampuni kupaa tena.
Kitabu kipya before 2028!!! Aliye juu amewafunulia Walio wake kitabu kuja 2026!!!!
Raha sana kuwa agent wa Mbinguni.
Ameeeeen.
Dip state ipi inaundwa na masikini?
Mwanadamu amepewa mamlaka ya kuitawala dunia na kutengeneza mifumo yake ili watu waishi kwa amani na utaratibu.
Moja ya mifumo inayofanya watu wawe salama ni dark management aka leading from the dark for checks and balance...