jay-millions
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 3,983
- 10,034
Nadhani wanatumia akili zaidi kuliko ndumbaHamna mwanasiasa wa kibongo ambaye hajakanyaga kwa sangoma๐๐๐! Soma tena kwa sauti.
According to Yoga he was one of them and diveded them, weakened them and created 'new' using some of them, understand?
According to Yoga he was one of them and diveded them, weakened them and created 'new' using some of them, understand?
Muda huo wanaliwa na funza..ww funza watakuwa washaswaki kabisaa..yaan umeishaa..zindukaDaah aisee inasikitisha sana. Utafikiri hawatakufa but siku moja watakuwa down wanaliwa na funza.
Mkuu ulimwelewa Yoga? BT alikuwa mwenzao...akawatenganisha baada ya madaraka..akawadhoofisha...akawachukua baadhi yao kuanzisha kundi lingine..kumbuka hapo ana power kwenye kila kitu...yani kwa kifupi hawamuwezi..wamuache tuu..Hii dpst (the originals), wanafikisha sana. Walikua wapi wakat bt anaunda dpst ndan ya dpst? Je walijua na wakamuacha makusudi wakijua namna watamdhibiti?
Bt kuna mtu ameonesha kushirikiana nao na kushangaa kwa nini kageuka mzee hadi wewe.? Imekuaje ukawa na hawa Cowards.?
Inafikirisha sana. Hao the originals dipst inawezekanaje ipelekeshwe na mtu mmoja mpaka kufikia kiwango cha kuanzisha dipst nyingine kupitia hao hao dipst.is that a dip state or you are talking about vibwengo organization.
Nimemuelewa sana mkuu. Hawa originals ndio walimwalika bt wao wakamweka kikao aachane na harakat za kuutaka u ceo middle of 90s. Ishu inakuja how comes awachezee kirahisi hvyo? Wakat hyo ni dpst. Dipst sio kirahis kama tujuavyo kupindua pindua tu mambo hata kama ni mwenzao watakuondoa fasta.Mkuu ulimwelewa Yoga? BT alikuwa mwenzao...akawatenganisha baada ya madaraka..akawadhoofisha...akawachukua baadhi yao kuanzisha kundi lingine..kumbuka hapo ana power kwenye kila kitu...yani kwa kifupi hawamuwezi..wamuache tuu..
Ww funza wataanzia mtaroni kwakoMuda huo wanaliwa na funza..ww funza watakuwa washaswaki kabisaa..yaan umeishaa..zinduka
Anaapishwa hii tareheDuh! What a coincidence 15 August na outoru ni msimamishwa siio wa kampuni!!!
Sema suuu....Si kila pori ni salama, kuna watu mbele yao ni giza na utelezi...Well, time is a good friendMiongoni mwa jamaa ambao watakuwa multi millionaires akistaafu ni jamaa. Ila Tanzania raha sana yani ukiwa kwenye nafasi tu kama hio lazima uwe Don ukishindwa we mzembe.
Unakwarua billions unaenda kuziweka uswizi. Ukicheki mke utakuta ni mama wa nyumbani tu ila anamiliki Yutong za kutosha ๐๐๐!!! Acha watu waroge tu hamna njia rahisi ya kuwa tajiri bongo kama kupita kwenye siasa.
Never say never...There are people and kings...A kings word is a decree...Hakuna mtu atavunja maneno ya kifalme, this time arround unabii unaenda kukamilika..."Niliona ndege yao ikiungua angani"if somebody can overthrow the dip state and take the charge, what do you think of him. Is the dip state weak to be overthrown? never happen in the world brother.
Unawezaje kucounter back kwa mtu ambaye ni mmiliki wa dip state with all the facilities and networks na nchi ikabaki salama?
Mwanga haujawahi shindwa kuimulika giza...Tell them the power hand is changed!All done have got hands in dark.
He was the son and part of them, they like him and he take care of them.
The good thing of him, dont have school head but he has natural street brains and he can properly operate in-dark plans.
Utajua hujui...give it time sir!The boy from Singida ~ christian.
The boy from Tanga ~ Muslim.
There is house rules, but they are all in coin sides.
They are all grown up and mentored by him.
They are heads of all big sources of money for the nation economy, incase of any shakes of the two sources will justify the collpase.
" Ndege Yao ikiungua angani".Never say never...There are people and kings...A kings word is a decree...Hakuna mtu atavunja maneno ya kifalme, this time arround unabii unaenda kukamilika..."Niliona ndege yao ikiungua angani"
Tukazane kuomba wanga wasifanikiwe kutufarakanisha na mbingu...Hao hata kama hawatataka watafanya kama robbots...Its done once and forever.Ndomana members walianza DHARAU d.ste maana walikuwa wanajijenga wao Si Nchi.
KAZI alikuwa akifanya uncle ilikuwa ni Kwa maslah ya members, watu wanatukana tu bila kujua.
Ile dst ya Mchonga inarudi na kitabu kitasaidia kampuni kupaa tena.
Kitabu kipya before 2028!!! Aliye juu amewafunulia Walio wake kitabu kuja 2026!!!!
Raha sana kuwa agent wa Mbinguni.
Ameeeeen.