Dark days 17/03/20...

Baby punguza yai ili tuelewane vizuri.
 
Raha sana kuwa agent wa mbinguni🙄
 
yaani dip state ipinduliwe na mtu mmoja tena kukiwa cool kabisaa, hiyo itakuwa dip state ya vibwengo, HIVI MNAJUA MAANA YA DIP STATE, you are joking.

some body taking over the dip state more than 20yrs hahahahaha, dip state taken over for 20yrs on somebody hands? you cant be serious. And the dip state re-organized to counterback somebody, this should be Indian movie, who told you dip state can fight somebody, try to be serious.
 
Hayawi hayawi....
Kama ahadi ilivyo deni...

Ceo anayeondoka, wa kampuni ya jirani...ni mtu mwenye kucheza karata zake karibu na kifuani....ikumbukwe kua, amekulia makao makuu ya kampuni, na hakuwa mtu wa tamaa katika kuwa kiongozi....watu mjini watakuambia ni mtu "simple". Yani mtu ambaye ana ile kauli ya "kuliko tuzozaaaane na maisha yenyewe ndo haya, haina maana". Alafu ana utu kwenye maslahi...yani anajali customers...maanake hana tamaa. Si unaelewa mtu aliyeridhika na maisha...na hapendi shida!

Haya bas...wanakuambia uongozi wa kampuni kama hizi, kikubwa ni maslahi. Maslahi ndio inawaleta watu karibu, na pia kuwaweka mbali. Katika uongozi wa huyu ceo wa kampuni ya jirani anayeondoka, maslahi yake binafsi ilikuwa kusafisha jina lao...yani kuweka mfano, akumbukwe kama kiongozi bora aliyetokea kuiongoza kampuni, ukilinganisha na wale waliomtangulia. Na nia yake toka moyoni ilikuwa kweli kuwapa customers service bora...na kufanikiwa kwa hili, kungeimarisha kuaminika kwa board of directors kwenye kampuni. Hakuwa anataka uceo, ila ni alizaliwa kwenye njia itakayompa uceo...yani mzee wake alishamuandalia kila njia. Basi yeye akaona si haba!

Sasa mmoja wa wasaidizi aliopewa katika safari yake hii, alikuwa ni oturo mwenyewe...ambaye alionekana na imo kuwa mjanja katika maswala ya kampuni, yani alikuwa amebobea kindaki ndaki...yani watalaam watakuambia alikuwa mtu wa mkono, kuhamasisha customers, kuwa na mikakati, kutekeleza...maamuzi magumu...vigezo vyote ivi. Ceo anayeondoka, hakuwa mtu wa kufuatilia ivi vitu, yani ni mtu wa ofisini, taarifa ziletwe kwake...alafu aulize..."hapa tutafanyaje?". Hivyo ni mtu aliyekuwa anasikiliza, japo anaweza kusema, njia hii itakuja kutuumiza...tutafute mbadala mwingine. Na wametoka na oturo mbali, tangu anatambulishwa kwenye kiwanda cha nuka, anawania u department representative ..mpaka anaingia kwenye ngazi za u management...oturo amekuwa nae. Kwa hiyo alimuamini saaaana tu kupita maelekezo. Hapo hapo tuelewe kuwa oturo anajikuta ni kama mmoja wapo wa board of directors, japokuwa ni assistant wa mmoja kwenye board of directors....kwa wale wapenzi wa the godfather series au italian mafia...yani ni consigliere wa capo. Hivyo yupo ndani japo yuko nje...hawezi kuwa kama walio ndani walivyo.

Haya bana... ceo anayeondoka, alipoingia kwenye uceo...kama kawaida alibaki zake ofisini, kaglassi kake na whiskey anayoipenda apo pembeni...akamuachia
Assistant wake apange system nzima ya uongozi...si wanaaminiana bwana!!! Kwa iyo ceo akawa hana mengi ila anayeendesha kampuni ni assistant wake. Sasa tafrani zikaanza mwishoni mwa 2015, mwanzoni mwa 2016...hapo ni chini ya maji yani, hakuna anayejua huku nje, maanake wanachekeana, wanasalimiana in public, ila ndani ni moto unawaka...nini tena? Assistant hatekelezi kama walivyokubaliana na ceo....na pia ni pesa nyingi sana za kampuni zinapotea kupita kiasi...mpaka sasa maslahi binafsi ya ceo anayeondoka inaelekea kuwa matatani. Tukumbuke maslahi ndio kila kitu kwenye uongozi wa kampuni. Alafu ishakuwa too late ndio wanakaribia kurudi kwa customers wawaombe uongozi kwa mara ya pili. Ndio pale mamaake ceo anayeondoka kukutana na imo kumueleza, "mkuu tunafanyaje apa, jamaa kafanya yake, na ni too late". Yani unaambiwa ceo anayeondoka alitaka kutafuta assistant mwingine kwenye kipindi cha pili waombe nae uongozi kwa customers akashauriwa...its too late...customers hawatakuelewa. "Bora muende tu ivi mkijifanya hamna noma....tutasort mbele ya safari."

Basi...wakafanikiwa kipindi cha pili, ila mnaelewa...cha kwanza na cha pili...customers hawaelewi...system ndio inaamua...na hapo odii ndo amependwa kupita kiasi maanake kipindi cha kwanza mambo yalikuwa hayaendi na customers wamechoka kuchoka...saa yoyote kitanuka kama 2007. Hapo ceo anayeondoka na assistant wake haziivi. Afu ceo anayeondoka anaona hii ndo chance yake ya mwisho kuifufua maslahi yake na kueka mambo sawa...akifeli basi imekula kwake... kina bakiki na imo wote walimuambia...hapo ni uweke mambo yako sawa na odii. La sivyo...hakiendi kitu...na pia afanye damage control...maanake tayari oturo ndo mzee wa kusema...si ni yeye ndo amepanga system nzima...na kipindi cha pili ndio alijizatiti zaidi...kwenye kila kitengo...kila mahali...kaweka watu wake...kwa kifupi...board of directors ya zamani, ikawa imepinduliwa ikijiona...japo ni mpasuko...kuna wale wa oturo...na wale waliobaki waaminifu kwa ceo anayeondoka.

Oturo yeye, board of directors yake ni watu wanaotaka pia wao wajikusanyie...yani sio old money...ni new money. Ndio maana watu wake ni wapya wapya...na ni vijana vijana. Hapo ndio alifanikiwa kuwapasua na kupata uwezo wa kusema...maanake alikuwa ana copy paste alichofanya mwalimu wake...mzee imo profesa mwenyewe. Yani ukiwa na oturo...anza kuhesabu mabilioni...yani sio mchoyo wa kutoa...ila ni mambo ya quid pro quo. Hivyo...akipanga kinapangika...na pia sio mchoyo wa kutoa nauli ya mbinguni... apo ni chap. Yani ni imo kama imo mwenyewe.

Kwa iyo ceo anayeondoka...akasameheana na odii, wakaungana mkono...afu wakawa wana pambana na assistant ambaye ndie aliye na system ya kampuni. Hakuna alichofanya, oturo asijue...ata pamoja ya kutomuita kwenye vikao...ata alipowabadilisha management yake yote...kuna wale wasioweza kubadilishika...na pia kuna waliopo kwenye vitengo vya chini...bado wanafanya kusabotage. Kwa iyo ceo anayeondoka akabaki kuprotect the little he can...kuhusiana na maslahi yake, akishauriwa na odii, ambaye ni twiga mrefu kwenye maswala ya strategy.

In short...wamemuacha nguruwe ajikaange na mafuta yake mwenyewe... wao wamefanya auditing ya kampuni, mpaka hata kipindi hichi cha zoezi lilopita... afu watamuanika kwa customers na waamuzi. Ceo anayeondoka bado anataka kubaki kwenye board of directors...na board of directors ya oturo, wanaplan kuiangusha!!

Je ni kipi kita-jiri?
 
Haya asnt pia kwa mawazo yako .mawazo yako yanaheshimiwa sna tu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kwaiyo umeandika na wewe bosi ??
 
Utajua hujui...give it time sir!

hahahaha kwa hii hekaya ya dip state kutekwa na mtu kwa miaka zaidi ya 20, nani kakwambia kuna mtu anaweza kuiteka dip state.

Unajua kwanini uko salama ndani ya nchi yako? unafikiri maadui wako ndani tu? unajua nani analinda taifa lako na hao unseen dark pirates na hawa external visible pirates unafikiri vita yake ni ndogo wewe kuona with your naked eyes.

You know rome than the roman eeeeh.
you understand the book than the keepers and the editors eeeeh, hata hicho unachoamini kinalindwa gizani na wasionekana, hicho unachoamini historia bila shaka imekufundisha kilifikaje kijijini kwako mpaka leo unakiamini.
 
Hakuna Kisichowezekana lakini BT achague kupoteza vyote mpaka maisha au atumiwe kurekebisha kampuni over the state wamesema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…