Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

No sir...Yangu yapo kiroho kabisaaa...Codes zangu hazioani na za hii story, am on my own ways...Nadhani Rabon ananielewa zaidi ya wengi humu...Ukitaka kunielewa basi lugha yangu nia ya kimbingu si za kibinadamu
Hakuelewi Rabbon pekeyake, wengine info hizi tunazo tokea mwaka 2014 kutokea kwa Mungu mwenyewe.
 
Katika yote langu ni moja tu "Tanzania njema ni lazima" hii siambiwi na hii story najua tana najua kwamba itakuwa hivyo, come rain or sunshine!
TANZANIA njema ya kiaje?walamba asali Tanzania njema ndiyo hii tuliyonayo Sasa.
Kwako wewe pia itakuwa njema mpaka umuone mjomba ako kawa waziri?

Kuiona nchi njema ni lazima uwe mlamba asali,tofauti na hapo zitasikika lawama tuuu
 
Miongoni mwa jamaa ambao watakuwa multi millionaires akistaafu ni jamaa. Ila Tanzania raha sana yani ukiwa kwenye nafasi tu kama hio lazima uwe Don ukishindwa we mzembe.

Unakwarua billions unaenda kuziweka uswizi. Ukicheki mke utakuta ni mama wa nyumbani tu ila anamiliki Yutong za kutosha [emoji23][emoji23][emoji23]!!! Acha watu waroge tu hamna njia rahisi ya kuwa tajiri bongo kama kupita kwenye siasa.

Huyo kibaka utakuta ana mikopo mikubwa ya benki za ndani ya kuzuga, kumbe hela anatoa kwenye acct zake nje. Hawa vibaka wanapenda kutumia makampuni makubwa ya binafsi yanayofanya importation kubwa kutakatisha pesa esp makampuni ya mafuta na vyakula
 
Kwahio mkicheki mnaona jamaa ana deni la billion 5 kumbe muhuni tu 😂😂😂
 
narudia tena unaijua dip state au unaisikia?
get the time to learn it, how it operate and may be the structure. You think is the small thing for someone to penetrate and lobby?...

If someone can lobby and manage the dip state, I am not sure if this nation would be alive todate. I hope you know the big land other side of lake Tanganyika and what used to happen time to time....
Heshima yako mkuu mimi kadogo kadogo tu, ila unataka kutuaminisha kuwa binadamu hajawahi zidiwa mawazo na binadamu mwenzake? Mungu peke yake ndio hawezi shindana na mwanadamu ila deep state kama binadamu hawa hawa basi jua nao wanamapungufu wanazidiwa akili tena sana tu.

Ikiwa tu tunaona hao hao viongozi wa vyombo hivyo huwa wanaingizwa chaka na wananchi wa kawaida na wanakuja shtuka tayari keshalizwa inashindikana vipi kuzungukana hapo hapo koridoni na ukafanikiwa
 
dip state sio mtu mmoja, its a bunch of people with good heads, patriotic and dedicated for their nation. Huwezi kuuzidi akili umati wa watu wenye akili wewe mtu mmoja, Every mission should be agreed with all seniors with some proper research and data from the ground.

To overthrow the dip state which set and work together for many years, you need also a lot of years and will need elimination of some important critical members without being noticed one by one silently.

How many years will be taken for silent elimination of more than 200 members from different department of dip state and you become the boss with full authority and all members looks after you?, isnt fuckin easy like many of you trying to think.

Back to the topic, In dark world and vibwengo world, its two far different cases.
Its easy for vibwengoz takes at easy with their easy world but no fuckin easy thinking in dark side.

There is states which have got no dark mgt rather than fuckin vibwengo leaving easy life which have been pirated in dark and controlled in dark very dip.

Dip down thinking to all stable states which are not pirated in dark and they are the controllers of their own darkness ~ You cant take the dip state and put in your control.
Since day one of independent, the handover from British was very clear and created two darkness with the top far in dip dark and other not near from the 1st one, they are all far are part ( its long story and not these vibwengoz heads can figure out).

Thanks, cheers.
 
and this is what you set to understand whith the new course taken, your heads must be proactive and think miles ahead, if not, just go back to some steps with nose down to smell and note some tips, and compare the notes.

Ooooh sorry its difficult for vibwengo, heads are hard and occupied with basics to cover the normal life.

being part of dark is not the visa to be free and live easy.
 
dp state inatekwa kama inavyotekw department nyingine, acha kukaza kichwa.
 
Huwezi kuyaelewa haya, jielimishe labda utaelewa.
Mkuu

Japo handover during independence iliofanyika BADO oldest CEO alipata shida kuiongoza kampuni Hadi alipoenda Bagamoyo pale !kina Ganze na yahaya senior wakamfanyia matambiko Hadi ukazaliwa Mwenge na utabiri wa kifo chake kuwa ni 115 iliyoandikwa kwenye kiganja cha mkono cha Ganze Baada ya kutoka kwenye lile shimo kule Baada ya kukaa siku 11 kinyume na matarajio ya kina yahaya senior!!

Japo ile 115 ni (38+77);38-miaka tangu kampuni ilipata Uhuru hapo 1999 na 77-idadi ya miaka atakayokuwa amefikisha ndipo ataitwa na wenye nchi waliopo huko unapo pataja!!

Swali ni kwanini oldest CEO alienda kuomba msaada shehks wa uswahilini WAKATI TAYARI alishapewa kampuni na WAZUNGU!!?ina Maana handover haikukamilika Hadi pale alipoenda kutoa Maisha yake KWA majini yale!?

Hebu naomba mwanga hapo!!

"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"!
 
Duh, ngoja waje!!!
 
haya nimekupata ila watu wanateka mpk serikali nzim na dp state ikiwemo ndani yake, nenda afghanistan.hait raisi alipigwa chuma na.dp.state ilikuwepo.

jielimishe kidogo, kasome vizuri historia ya Afghastan halafu nisome vizuri juu hapo, sorry niliandika kwa english yangu mbovu.

Stable and unstable states.
nani anayeimiliki dip dark side ya Afghastani na nini malengo yake aliingiaje?
Mujahideen to Taleban and Alqaeda and the role of USA, back then the caves war with USSR.
What is Haiti and who owns Haiti hahahaha, hatuongelei vibwengo tunaongelea dip dark side. Haiti since indepent what was the position?

Ukizaliwa na dip state inazaliwa, shida inaanzia hapo, ilipozaliwa ilikuwa mali ya nani? unajua ilipozaliwa Zaire, dip state ni mali ya nani? na vita ya gizani ilikuwa ni nani na nani, na sasa hivi nani mmiliki wa dip state na malengo yake hapo zaire ni nini.

Back to mambo yako ya kiroho, nenda kajielimishe kuhusu roma empire, na hata imani uliyonayo ilipotokea before you brainwashed and set to believe what you believe ( sorry for interference, its not the battle, just set you something).
Zipo karatasi za siri na ukibahatika kufika level ya kuziona "no point of return" ukigeuka calliber unaikuta kisogoni.
 
Duh, ngoja waje!!!
Aje atuambie kama wazungu walimkabidhi kampuni KWA darkness yao!? kwanini oldest aliomba msaada KWA Hao jamaa tena aliamriwa afunge KWANZA asubuhi Hadi jioni halafu akachinjwa mbuzi/kondoo airuke Damu halafu Ganze akashuka kuzimu akasubiriwa Hadi siku 11 ndio atoke huko amedhoofu hata kuongeza hawezi akapelekwa KWA oldest CEO hapo white house ndio Ganze akafungua kunywa na kusema"Baba!na tuwashe moto mlima kilimanjaro ulete matumaini pasipo matumaini,nuru penye giza na umoja na mshikamano KWENYE kampuni ! Baada ya Hapo akanyoosha mkono juu na kukata Roho na kiganja cha mkono kiliandikwa 115!hakujua maana yake ndio akaenda KWA yahaya senior ndio akamwambia "ndugu utakufa ukiwa na miaka 77 na kampuni utakuwa na miaka 38 tangu IPATE Uhuru yaani 38+77=115

Atuambie kwanini alienda KWA waswahili wakati keshapewa kampuni!!?

Nilisahau

"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"
 
Back
Top Bottom