Barnabas Mashamba
JF-Expert Member
- Jul 4, 2020
- 797
- 2,233
Hakuelewi Rabbon pekeyake, wengine info hizi tunazo tokea mwaka 2014 kutokea kwa Mungu mwenyewe.No sir...Yangu yapo kiroho kabisaaa...Codes zangu hazioani na za hii story, am on my own ways...Nadhani Rabon ananielewa zaidi ya wengi humu...Ukitaka kunielewa basi lugha yangu nia ya kimbingu si za kibinadamu
Hiyo code ni kama JAL ya t.akilMkuu
Anamaanisha yale yale ya Juvenile habyarimana na Buyoya walipoungua wakati akitua Rwanda!!?kutokuwa Ikulu yetu!!?
Tunasubiri kama ni Hivyo
"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"!
TANZANIA njema ya kiaje?walamba asali Tanzania njema ndiyo hii tuliyonayo Sasa.Katika yote langu ni moja tu "Tanzania njema ni lazima" hii siambiwi na hii story najua tana najua kwamba itakuwa hivyo, come rain or sunshine!
Imafikirisha!!!!!!Watu wanateka nchi nzima iwe deep state?
Ndugu chrorine gas, Hz fake ID's zikidissapear hata Kwa one hour tukaweza kuona uhalisia wa watu ktk Uzi wa yoga, nadhani wengi tungebak wasomaji tu bila tutoa comment yoyote.Ndio kiongoz
Miongoni mwa jamaa ambao watakuwa multi millionaires akistaafu ni jamaa. Ila Tanzania raha sana yani ukiwa kwenye nafasi tu kama hio lazima uwe Don ukishindwa we mzembe.
Unakwarua billions unaenda kuziweka uswizi. Ukicheki mke utakuta ni mama wa nyumbani tu ila anamiliki Yutong za kutosha [emoji23][emoji23][emoji23]!!! Acha watu waroge tu hamna njia rahisi ya kuwa tajiri bongo kama kupita kwenye siasa.
Kwahio mkicheki mnaona jamaa ana deni la billion 5 kumbe muhuni tu 😂😂😂Huyo kibaka utakuta ana mikopo mikubwa ya benki za ndani ya kuzuga, kumbe hela anatoa kwenye acct zake nje. Hawa vibaka wanapenda kutumia makampuni makubwa ya binafsi yanayofanya importation kubwa kutakatisha pesa esp makampuni ya mafuta na vyakula
Tunahitaji ku adopt katika sheria kali sana na adhabu kwa wanaotumia vibaya ofisi za umma. Ifikie mahali siasa iwe ni sehemu chungu sio ya kukimbilia kijinga.
Heshima yako mkuu mimi kadogo kadogo tu, ila unataka kutuaminisha kuwa binadamu hajawahi zidiwa mawazo na binadamu mwenzake? Mungu peke yake ndio hawezi shindana na mwanadamu ila deep state kama binadamu hawa hawa basi jua nao wanamapungufu wanazidiwa akili tena sana tu.narudia tena unaijua dip state au unaisikia?
get the time to learn it, how it operate and may be the structure. You think is the small thing for someone to penetrate and lobby?...
If someone can lobby and manage the dip state, I am not sure if this nation would be alive todate. I hope you know the big land other side of lake Tanganyika and what used to happen time to time....
Heshima yako mkuu mimi kadogo kadogo tu, ila unataka kutuaminisha kuwa binadamu hajawahi zidiwa mawazo na binadamu mwenzake? Mungu peke yake ndio hawezi shindana na mwanadamu ila deep state kama binadamu hawa hawa basi jua nao wanamapungufu wanazidiwa akili tena sana tu.
Ikiwa tu tunaona hao hao viongozi wa vyombo hivyo huwa wanaingizwa chaka na wananchi wa kawaida na wanakuja shtuka tayari keshalizwa inashindikana vipi kuzungukana hapo hapo koridoni na ukafanikiwa
dp state inatekwa kama inavyotekw department nyingine, acha kukaza kichwa.and this is what you set to understand whith the new course taken, your heads must be proactive and think miles ahead, if not, just go back to some steps with nose down to smell and note some tips, and compare the notes.
Ooooh sorry its difficult for vibwengo, heads are hard and occupied with basics to cover the normal life.
being part of dark is not the visa to be free and live easy.
dp state inatekwa kama inavyotekw department nyingine, acha kukaza kichwa.
haya nimekupata ila watu wanateka mpk serikali nzim na dp state ikiwemo ndani yake, nenda afghanistan.hait raisi alipigwa chuma na.dp.state ilikuwepo.Huwezi kuyaelewa haya, jielimishe labda utaelewa.
MkuuHuwezi kuyaelewa haya, jielimishe labda utaelewa.
Duh, ngoja waje!!!Mkuu
Japo handover during independence iliofanyika BADO oldest CEO alipata shida kuiongoza kampuni Hadi alipoenda Bagamoyo pale !kina Ganze na yahaya senior wakamfanyia matambiko Hadi ukazaliwa Mwenge na utabiri wa kifo chake kuwa ni 115 iliyoandikwa kwenye kiganja cha mkono cha Ganze Baada ya kutoka kwenye lile shimo kule Baada ya kukaa siku 11 kinyume na matarajio ya kina yahaya senior!!
Japo ile 115 ni (38+77);38-miaka tangu kampuni ilipata Uhuru hapo 1999 na 77-idadi ya miaka atakayokuwa amefikisha ndipo ataitwa na wenye nchi waliopo huko unapo pataja!!
Swali ni kwanini oldest CEO alienda kuomba msaada shehks wa uswahilini WAKATI TAYARI alishapewa kampuni na WAZUNGU!!?ina Maana handover haikukamilika Hadi pale alipoenda kutoa Maisha yake KWA majini yale!?
Hebu naomba mwanga hapo!!
"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"!
haya nimekupata ila watu wanateka mpk serikali nzim na dp state ikiwemo ndani yake, nenda afghanistan.hait raisi alipigwa chuma na.dp.state ilikuwepo.
Aje atuambie kama wazungu walimkabidhi kampuni KWA darkness yao!? kwanini oldest aliomba msaada KWA Hao jamaa tena aliamriwa afunge KWANZA asubuhi Hadi jioni halafu akachinjwa mbuzi/kondoo airuke Damu halafu Ganze akashuka kuzimu akasubiriwa Hadi siku 11 ndio atoke huko amedhoofu hata kuongeza hawezi akapelekwa KWA oldest CEO hapo white house ndio Ganze akafungua kunywa na kusema"Baba!na tuwashe moto mlima kilimanjaro ulete matumaini pasipo matumaini,nuru penye giza na umoja na mshikamano KWENYE kampuni ! Baada ya Hapo akanyoosha mkono juu na kukata Roho na kiganja cha mkono kiliandikwa 115!hakujua maana yake ndio akaenda KWA yahaya senior ndio akamwambia "ndugu utakufa ukiwa na miaka 77 na kampuni utakuwa na miaka 38 tangu IPATE Uhuru yaani 38+77=115Duh, ngoja waje!!!