[emoji23][emoji23][emoji23]Siku ndiyo hiyo inaisha lakini mzigo bado haujashuka. Naamini Yoga anaishi kwa imani ya kimahesabu ya "plus or minus one" kwa hiyo kwenda mpaka tarehe 27-08-2022 itakuwa ni "within acceptable standard error"
Code ya bachelor II sijaipata vizuri, mafaili yangu kichwani yamekuwa mengi...nifungueniBachelor II atakuwa anaomba msamaha mpaka saivi warudiane ndo maana!!! Dah!
Angalia post za hapo juu kuna mwamba anaitwa bachelor ll alikua anapost kwamba yoga ni ex wakeCode ya bachelor II sijaipata vizuri, mafaili yangu kichwani yamekuwa mengi...nifungueni
Huyo bachelor ni mbwabwajaji tu kama mandonga.Angalia post za hapo juu kuna mwamba anaitwa bachelor ll alikua anapost kwamba yoga ni ex wake
Ndugu yangu usiamini jinsia ya member yeyote hapa jf kwa kutazama picha yake tu, agharabu kama unamjua na jina lake halisi unalijua hapo amini.Kwani yoga ni jinsia ke? Mi nadhani ni me. Au hatujui
[emoji23][emoji23][emoji23]jiangalie mkuuDah! Inamana na leo sitatokea kijiwe nongwa sitaki kuamini aisee unaniangusha Sana YOGA cheo changu kipo hatarini[emoji850]
Zitto kamaliza kila kitunimeshakuzoea, una wananga Watanzania kama wewe ni mrundi au kabila moja na Mwendazake, kuna post moja kwenye Mada jamaa yako afukuliwe na aje ajibu mabaya yake ukajikosha.
sasa hapa unataka nikuorodheshee kwa awamu zote na ya 6
au ya 5 ya mwendazake miaka 6 ?
bandari Mwanza imekwapua mabilioni
Kajenga kwao airport na kampuni yake
mbuga ya wanyama..........
Hivi huyo dogo nickname yake ni ipi hapa kwa huu uzi wetu pendwa?Zitto kamaliza kila kitu
Z
Sauti haitoshi mzee baba 😂😂😂hebu ongeza kidogo wagema ulimbo hawajakusikiaKwanini alilazimisha Kiwanja cha Ndege kwa Kampuni yake
Kafunga /kafuta Bandari ya Bagamoyo ile iwekwe kwenye Mji wake
kachomoa pesa ili ajenge Reli Isaka Mwanza
Kahamisha Twiga si angehamisha na Mlima Kilimanjaro kabisa
Gesi ya kusini na kuwafukuza Acacia na wamerudi mlango wa nyuma huwezi, Rasilimali angegawa sawa wala tusingelalamika lakini kuzibeba kama Mobutu au Abacha ndipo hapo mnapopishana na wenzenu, Kwenye chama mlijazana, Uwaziri mpaka maofisini je mngemaliza miaka 10 si mngesema Lugha yenu ni ya Taifa?
May be the story is over and over... yoga amkaThe story is over....thread closed