Dark days 17/03/20...

Njoo mezani na wewe utulishe huku njaa inauma utatuua wenzio!!Sasa unaenda kulala mapema kabla hatujashiba!!!??
Ndio mpendwa hizi ni hekaya tuuu, and nothing sereous[emoji15][emoji2960][emoji2960] anyways good analysis!!

NB: Literature reflect the society!! nothing sereous!! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii ni hadithi.....
 
Mimi ukiniuliza nini kilimuuwa old CEO nitakwambia jambo moja tu dam sio nzuri kuimwaga. Nadhani alipofikia ku eliminate watu wenye akili walijiongeza yani ukiuwa ujuwe utauwawa na hiki ndicho kimewakuta all killer. Angalia kinachoendelea hapo Ukraine huyo jamaa wa Russia msishangae kuamka asubuh amesha pumzika. Kitu anakifanya hapo Ukraine hakiwezi muacha tena atanie. Yani anajuwa siku zake zinahesabika. Yani kuuwa nijambo hatari sana kwa maisha yako pia.
 
Daah!! Born town anaenda kumlambisha mchanga maushungi. Assistant New CEO anakuja kulipa kisasi kwa Mr.Born town.

Ila tawi la vidole viwili juu ni wahuni sana, wanatuigizia sana kumbe mishe zao na mboga mboga ni moja.
Jamaa wanajuana sana sema wananchi wengi hatuelewi
 
Sawa sawa mzee wa maono!!!Sasa tuambie nani atashinda Kati ya timu zote!!?ina Maana old CEO ni Member wa the state!!??au state members wanajitegemea!!?
 
Yaani mtu anasimulia pande zote kama yy ndio director
 
Punguza ujuaji, mbona uliletwa uzi humu kua atatokea Rais ambaye hajawahi kugombea na sababu zikatajwa?
Tofauti ni kwamba yule mwingine ni kama alitumwa kutuandaa kisaikolojia na alitumwa au alikua mmoja kati ya waandaa mipango huyu mwingine bhooo bhooo bhoooo
 
Umetolea mfano wa Putin kwa Ukraine, kuwa Putin nae anaweza kufa muda si mrefu? Ingekua hivyo Bush, Obama hadi leo wasingekua hai kwa walioyafanya Iraq, Afghan, Syria na Libya
 
Huu uzi ukweli ni asilimia kumi tu..

Mengine yote ni kazi ya fasihi. Kikao kikae na watu wawili huko Doha tena ndani alafu wewe ujue kila kitu kilichoongewa..

Alafu una habari ya team zote mbili na kila mkakati kwa kila team unaufahamu. Duuuh hata Kigogo pamoja na uongo wake wote hakuwahi kufikia level zako
 
Mmeshaanza kuiharibu Hadithi yetu mnazichomoa post za yoga km Ile ya mwisho inayoelezea CEO kabla ya kukutana na tajiri la kiarabu aliona kwanza aonane na kijana wake aliyeandaa doc kwa miezi
UZI UMESHAHARIBIKA
mm kwangu zinachomolewa post sijui hata ilikua namba ngapi aliyoiweka haipo tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…