Dark days 17/03/20...

Ni ngumu Sana kuthibitisha kuwa aliposti,Ila ukimya wa yoga unantisha!

Kama Mods wamefuta Basi JF siyo sehemu salama turudi FB kununua misambwanda na migongo ya dada zetu.
Uzi kapost jana saa saba na nusu usiku, niliposoma nilimueleza anasrma uongo mkubwa. Nashukuru Uzi kufutwa, ulijaa uongo Sana. Jf sio kijiwe cha kahawa
 
Mimi ninao ulikuwa unahusu kikao Cha team ya bt na kukawa na jamaa analalamika kuwa wapunguze ugumu wa maisha kwenye kampuni Kwa kushusha bidhaa zao lakini akakataliwa na kuambiwa ale awezavyo lakini akistep down atashughulikiwa Kwa mujibu taratibu za team yao.
Huku upande mwingine branch manager wa mzizima kipindi Cha late CEO akilalamika kunyang'anywa mashamba yake na nyumba huku account zake mbili zikifungwa
 
Mkuu, naomba nitumie pm tafadhali..
 

Fanya kutuwekea Kwenye DM basi
 
Mkuu. mnyililo naomba unitumie pm please
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…