mwanausangi
JF-Expert Member
- Nov 4, 2021
- 548
- 608
autume tu huku aiseee tuusome woteMkuu. mnyililo naomba unitumie pm please
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
autume tu huku aiseee tuusome woteMkuu. mnyililo naomba unitumie pm please
Huku si watafuta Tena?autume tu huku aiseee tuusome wote
MKUU nitumie pmMimi ninao ulikuwa unahusu kikao Cha team ya bt na kukawa na jamaa analalamika kuwa wapunguze ugumu wa maisha kwenye kampuni Kwa kushusha bidhaa zao lakini akakataliwa na kuambiwa ale awezavyo lakini akistep down atashughulikiwa Kwa mujibu taratibu za team yao.
Huku upande mwingine branch manager wa mzizima kipindi Cha late CEO akilalamika kunyang'anywa mashamba yake na nyumba huku account zake mbili zikifungwa
Angalizo !Ni ngumu Sana kuthibitisha kuwa aliposti,Ila ukimya wa yoga unantisha!
Kama Mods wamefuta Basi JF siyo sehemu salama turudi FB kununua misambwanda na migongo ya dada zetu.
Waafrika Tuna Roho Zetu Flani Hivi[emoji845]Nimeamini watanzani wengi wanapenda sna umbea umbea na watanzania wengi pia wanachuki binafsi na watz wengi wanapenda sna kusikia kiongoz au mtu maarufu zaida yao akipatwa na majanga hufurahi San wakisikia Kuna baya litampata kiongoz au mtu yeyote celebriti bas watafurahi mno as if kwanba kupatwa kwake na majanga wait watapona
Hayo nimeyaona hapa Happ jf watu Jana hawajlala wakimsi yoga kuleta story ambayo story yenywe Ni riwaya tu haitatusaidia kitu ktk haya maisha yetu ya kila siku wala kutupunguzia mzigo wa tozo zilizo mbele yetu jmn tuacheni umbeyaa kutwa nzima mnamuita yoga yoga yoga duh jmn aibu sna hi jemba zima kulialia hap kuomba epsod za yoga Ni aibu tupu
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Pia namna ceo anapanga kumrudisha huyo aliyekuwa branch manager kwenye ubranch manager. Na kwamba huyo branch manager ana data za kutosha za ceo na mr borntown ndo maana hawawezi kumfanya kama walivyomfanya huyo kijana mwingine.Mimi ninao ulikuwa unahusu kikao Cha team ya bt na kukawa na jamaa analalamika kuwa wapunguze ugumu wa maisha kwenye kampuni Kwa kushusha bidhaa zao lakini akakataliwa na kuambiwa ale awezavyo lakini akistep down atashughulikiwa Kwa mujibu taratibu za team yao.
Huku upande mwingine branch manager wa mzizima kipindi Cha late CEO akilalamika kunyang'anywa mashamba yake na nyumba huku account zake mbili zikifungwa
Acheni uzwazwa unarharau Mello tenaEti "Where we dare to speak openly".
Openly ya nyoko!
Mimi ninao ulikuwa unahusu kikao Cha team ya bt na kukawa na jamaa analalamika kuwa wapunguze ugumu wa maisha kwenye kampuni Kwa kushusha bidhaa zao lakini akakataliwa na kuambiwa ale awezavyo lakini akistep down atashughulikiwa Kwa mujibu taratibu za team yao.
Huku upande mwingine branch manager wa mzizima kipindi Cha late CEO akilalamika kunyang'anywa mashamba yake na nyumba huku account zake mbili zikifungwa
Fanya kunitumia pm mkuuMimi ninao ulikuwa unahusu kikao Cha team ya bt na kukawa na jamaa analalamika kuwa wapunguze ugumu wa maisha kwenye kampuni Kwa kushusha bidhaa zao lakini akakataliwa na kuambiwa ale awezavyo lakini akistep down atashughulikiwa Kwa mujibu taratibu za team yao.
Huku upande mwingine branch manager wa mzizima kipindi Cha late CEO akilalamika kunyang'anywa mashamba yake na nyumba huku account zake mbili zikifungwa
Nitumie PM kaka pleaseMimi ninao ulikuwa unahusu kikao Cha team ya bt na kukawa na jamaa analalamika kuwa wapunguze ugumu wa maisha kwenye kampuni Kwa kushusha bidhaa zao lakini akakataliwa na kuambiwa ale awezavyo lakini akistep down atashughulikiwa Kwa mujibu taratibu za team yao.
Huku upande mwingine branch manager wa mzizima kipindi Cha late CEO akilalamika kunyang'anywa mashamba yake na nyumba huku account zake mbili zikifungwa
Mitumie inboxPia namna ceo anapanga kumrudisha huyo aliyekuwa branch manager kwenye ubranch manager. Na kwamba huyo branch manager ana data za kutosha za ceo na mr borntown ndo maana hawawezi kumfanya kama walivyomfanya huyo kijana mwingine.
MKUUAngalizo !
Tumekuwa Makini Sana Kufatilia Hii Story Ambayo Mwenye Stori Yake Ametuhakikishia Haihusiani na Uhalisia Wowote .
Lakini Umakini Wetu Katika Kufatilia Na Comment Zetu Zinaonyesha Kuna Mahusiano Na Uhalis!ia Flani Ambao Tunaujua Aidha Kwa Dhana Au Kwa Minong'ono.
Katika Mazingira Ya Aina Hii Ni Dhahiri Kuna Kambi Tofauti Humu Ndani Kama Ilivyo Story Yenyewe
Hapo Ndo Kwenye Tatizo
Inawezekana Ni Kweli Ilikuwepo na Ikaondolewa, Au Haikuwepo Kabisa.
Kwanza Nina Mashaka Makubwa Na Hata Hao Wanaotuaminisha Kuwa Epsd Imeondolewa.
Yawezekana Anayepost Na Wanaosema Kuwa Waliuona Kuwa Ni ID Tofauti Lakini Mmiliki ni Mmoja Kwa Maana Huenda Haija postiwa Bado.
Ni Wakati Sasa Wa JF Kujibu Hili Je Ni Kweli Epsd Ilitumwa Na Wameifuta Wao ? Kwa Sababu za Aina yeyote zile Lakini Wao Ndio Watuthibishie Hili.
Ikiwa Hawatojibu Lolote Maana yake Ni Kweli Wameifuta Wao.
Lakini Kama Hawahusiki Waje Wakanushe Ili Hata Dhana ya Usalama Iwe Na Mantiki Vinginevyo JF Itaonekana Ni Kituko tu
Kuna kitu hakiko sawa account ya Yoga ni kama hawezi kutuma chochote na hata huwezi kumtumia chochote test thsNgoja nimpigie yoga simu Nina namba zake kwanin apost usku wa manane story kivipi
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app