Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Mimi ninao ulikuwa unahusu kikao Cha team ya bt na kukawa na jamaa analalamika kuwa wapunguze ugumu wa maisha kwenye kampuni Kwa kushusha bidhaa zao lakini akakataliwa na kuambiwa ale awezavyo lakini akistep down atashughulikiwa Kwa mujibu taratibu za team yao.
Huku upande mwingine branch manager wa mzizima kipindi Cha late CEO akilalamika kunyang'anywa mashamba yake na nyumba huku account zake mbili zikifungwa
MKUU nitumie pm
 
Duuh
JamiiForums-1859057752.jpg
 
Ni ngumu Sana kuthibitisha kuwa aliposti,Ila ukimya wa yoga unantisha!

Kama Mods wamefuta Basi JF siyo sehemu salama turudi FB kununua misambwanda na migongo ya dada zetu.
Angalizo !

Tumekuwa Makini Sana Kufatilia Hii Story Ambayo Mwenye Stori Yake Ametuhakikishia Haihusiani na Uhalisia Wowote .

Lakini Umakini Wetu Katika Kufatilia Na Comment Zetu Zinaonyesha Kuna Mahusiano Na Uhalis!ia Flani Ambao Tunaujua Aidha Kwa Dhana Au Kwa Minong'ono.

Katika Mazingira Ya Aina Hii Ni Dhahiri Kuna Kambi Tofauti Humu Ndani Kama Ilivyo Story Yenyewe

Hapo Ndo Kwenye Tatizo

Inawezekana Ni Kweli Ilikuwepo na Ikaondolewa, Au Haikuwepo Kabisa.

Kwanza Nina Mashaka Makubwa Na Hata Hao Wanaotuaminisha Kuwa Epsd Imeondolewa.

Yawezekana Anayepost Na Wanaosema Kuwa Waliuona Kuwa Ni ID Tofauti Lakini Mmiliki ni Mmoja Kwa Maana Huenda Haija postiwa Bado.

Ni Wakati Sasa Wa JF Kujibu Hili Je Ni Kweli Epsd Ilitumwa Na Wameifuta Wao ? Kwa Sababu za Aina yeyote zile Lakini Wao Ndio Watuthibishie Hili.

Ikiwa Hawatojibu Lolote Maana yake Ni Kweli Wameifuta Wao.

Lakini Kama Hawahusiki Waje Wakanushe Ili Hata Dhana ya Usalama Iwe Na Mantiki Vinginevyo JF Itaonekana Ni Kituko tu
 
Nimeamini watanzani wengi wanapenda sna umbea umbea na watanzania wengi pia wanachuki binafsi na watz wengi wanapenda sna kusikia kiongoz au mtu maarufu zaida yao akipatwa na majanga hufurahi San wakisikia Kuna baya litampata kiongoz au mtu yeyote celebriti bas watafurahi mno as if kwanba kupatwa kwake na majanga wait watapona

Hayo nimeyaona hapa Happ jf watu Jana hawajlala wakimsi yoga kuleta story ambayo story yenywe Ni riwaya tu haitatusaidia kitu ktk haya maisha yetu ya kila siku wala kutupunguzia mzigo wa tozo zilizo mbele yetu jmn tuacheni umbeyaa kutwa nzima mnamuita yoga yoga yoga duh jmn aibu sna hi jemba zima kulialia hap kuomba epsod za yoga Ni aibu tupu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Waafrika Tuna Roho Zetu Flani Hivi[emoji845]
 
Mimi ninao ulikuwa unahusu kikao Cha team ya bt na kukawa na jamaa analalamika kuwa wapunguze ugumu wa maisha kwenye kampuni Kwa kushusha bidhaa zao lakini akakataliwa na kuambiwa ale awezavyo lakini akistep down atashughulikiwa Kwa mujibu taratibu za team yao.
Huku upande mwingine branch manager wa mzizima kipindi Cha late CEO akilalamika kunyang'anywa mashamba yake na nyumba huku account zake mbili zikifungwa
Pia namna ceo anapanga kumrudisha huyo aliyekuwa branch manager kwenye ubranch manager. Na kwamba huyo branch manager ana data za kutosha za ceo na mr borntown ndo maana hawawezi kumfanya kama walivyomfanya huyo kijana mwingine.
 
Mimi ninao ulikuwa unahusu kikao Cha team ya bt na kukawa na jamaa analalamika kuwa wapunguze ugumu wa maisha kwenye kampuni Kwa kushusha bidhaa zao lakini akakataliwa na kuambiwa ale awezavyo lakini akistep down atashughulikiwa Kwa mujibu taratibu za team yao.
Huku upande mwingine branch manager wa mzizima kipindi Cha late CEO akilalamika kunyang'anywa mashamba yake na nyumba huku account zake mbili zikifungwa

Nitumie inbox
 
Fanya kunitumia pm mkuu
 
Yzi utashuka baada ya kampuni ya Mr freedom kupata ceo mpya, mpaka aapishwe nahisi ndo yoga ataendelea na uzi, bado anasilikizia aside kupoyoya, akasema kitu mambo yakageuka na kuwa kinyume.

Mnakumbuka alisema mwanzoni mwa uzi kwamba current ceo wa kampuni ya bt alipewa barua na briefcase na aliposoma baria aliambiwa afungue briefcase baada ya kuapa nk.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nawazs mambo yakigeuka kule kwa Mr freedom na baba akakamata kiti atakuja kisemaje?
 
Mimi ninao ulikuwa unahusu kikao Cha team ya bt na kukawa na jamaa analalamika kuwa wapunguze ugumu wa maisha kwenye kampuni Kwa kushusha bidhaa zao lakini akakataliwa na kuambiwa ale awezavyo lakini akistep down atashughulikiwa Kwa mujibu taratibu za team yao.
Huku upande mwingine branch manager wa mzizima kipindi Cha late CEO akilalamika kunyang'anywa mashamba yake na nyumba huku account zake mbili zikifungwa
Nitumie PM kaka please
 
Angalizo !

Tumekuwa Makini Sana Kufatilia Hii Story Ambayo Mwenye Stori Yake Ametuhakikishia Haihusiani na Uhalisia Wowote .

Lakini Umakini Wetu Katika Kufatilia Na Comment Zetu Zinaonyesha Kuna Mahusiano Na Uhalis!ia Flani Ambao Tunaujua Aidha Kwa Dhana Au Kwa Minong'ono.

Katika Mazingira Ya Aina Hii Ni Dhahiri Kuna Kambi Tofauti Humu Ndani Kama Ilivyo Story Yenyewe

Hapo Ndo Kwenye Tatizo

Inawezekana Ni Kweli Ilikuwepo na Ikaondolewa, Au Haikuwepo Kabisa.

Kwanza Nina Mashaka Makubwa Na Hata Hao Wanaotuaminisha Kuwa Epsd Imeondolewa.

Yawezekana Anayepost Na Wanaosema Kuwa Waliuona Kuwa Ni ID Tofauti Lakini Mmiliki ni Mmoja Kwa Maana Huenda Haija postiwa Bado.

Ni Wakati Sasa Wa JF Kujibu Hili Je Ni Kweli Epsd Ilitumwa Na Wameifuta Wao ? Kwa Sababu za Aina yeyote zile Lakini Wao Ndio Watuthibishie Hili.

Ikiwa Hawatojibu Lolote Maana yake Ni Kweli Wameifuta Wao.

Lakini Kama Hawahusiki Waje Wakanushe Ili Hata Dhana ya Usalama Iwe Na Mantiki Vinginevyo JF Itaonekana Ni Kituko tu
MKUU

Haikuwa story Kama story Bali ujasusi sebuleni!!

"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"!
 
Back
Top Bottom