Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Story iliwekwa usiku na mm nilikuwa wa kwanza kuisoma, Ila ilijaa uongo huenda ndio maana ikafutwa.Post namba moja ya huu uzi haijafutwa, kwa ujumla story zilizosambazwa toka mwanzo hadi zilipoishia zipo zote.
Ni ujinga kuwaza kwamba season 2,episode 2 imefutwa.
Nijuavyo mimi jf huondoa uzi wote usioeleweka na sio kuondoa sehemu tu ya uzi
Yoga hajatoa excuse kwa uzi kuondolewa hivyo hakuna kitu kilichoondolewa hapa baada tu ya kusambazwa. Yoga atakuja kwa wakati story itaendelea
Wafatiliaji makini pekee ndio watanielewa.
Story inshort ilikuwa inahusu kijana yupo kwenye kikao cha bt, kijana hapendi gharama za maisha zilizopo kwenye kampuni. Wakaapa Kama atawasaliti atawashughulikia.
Ghafla akageukia aliyekua sijui branch manager kuwa hawezi kufanywa chochote ana backup kubwa kutoka kwa CEO.
Mara sijui mtoto wa bt amefunga account za branch manager, Mara kampora mashamba Mara hivi Mara vile uongo mwingiiii.