Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Post namba moja ya huu uzi haijafutwa, kwa ujumla story zilizosambazwa toka mwanzo hadi zilipoishia zipo zote.

Ni ujinga kuwaza kwamba season 2,episode 2 imefutwa.

Nijuavyo mimi jf huondoa uzi wote usioeleweka na sio kuondoa sehemu tu ya uzi

Yoga hajatoa excuse kwa uzi kuondolewa hivyo hakuna kitu kilichoondolewa hapa baada tu ya kusambazwa. Yoga atakuja kwa wakati story itaendelea

Wafatiliaji makini pekee ndio watanielewa.
Story iliwekwa usiku na mm nilikuwa wa kwanza kuisoma, Ila ilijaa uongo huenda ndio maana ikafutwa.

Story inshort ilikuwa inahusu kijana yupo kwenye kikao cha bt, kijana hapendi gharama za maisha zilizopo kwenye kampuni. Wakaapa Kama atawasaliti atawashughulikia.

Ghafla akageukia aliyekua sijui branch manager kuwa hawezi kufanywa chochote ana backup kubwa kutoka kwa CEO.

Mara sijui mtoto wa bt amefunga account za branch manager, Mara kampora mashamba Mara hivi Mara vile uongo mwingiiii.
 
Niliisoma mzee baba, iliondolewa
 
Kwanini unakomaa kuwa ilijaa uongo wakati ushaambiwa ni Riwaya? Nyie mapopoma ndo mnaosababisha nyuzi kufutwa, why usisome kisha ukatumia akili zako mwenyewe? Haya tupe huo ukweli wa Riwaya unaoujua wewe basi.
 
Story iliwekwa usiku na mm nilikuwa wa kwanza kuisoma, Ila ilijaa uongo huenda ndio maana ikafutwa.

Story inshort ilikuwa inahusu kijana yupo kwenye kikao cha bt, kijana hapendi gharama za maisha zilizopo kwenye kampuni. Wakaapa Kama atawasaliti atawashughulikia.

Ghafla akageukia aliyekua sijui branch manager kuwa hawezi kufanywa chochote ana backup kubwa kutoka kwa CEO.

Mara sijui mtoto wa bt amefunga account za branch manager, Mara kampora mashamba Mara hivi Mara vile uongo mwingiiii.
Sasa Hapa ni huongo upi jembe?, wakati ni story tu kama za kijiweni kusogeza maisha, kwani hio kitu mbona haimuhusu yoyote,
Binafsi nakuamini Sana tangu ile kitu ya uchaguzi wa Kenya na Kama ulisoma lazima utakua nao ,tupilia Hapa mkuu sie tupunguze stress za tozo, wakati tukijiandaa nunua ma V8, maana hata walionayo hawayatendei haki barabarani , jana Kuna dereva mmoja kaniudhi Sana nipo na kimkokoteni changu,yeye yupo na hilo Dude, kila akitia mguu namzoom, akiachia mguu nami aka naachia, kila hatua yake nipo, akiniruhusu pita Mie aka ,navuta Chupa ya maji, badae akaona isiwe tabu akapaki jifanya anakojoa ,nami huyo na safari zangu,
Sasa hili du bwana nalitka KWA pesa zangu za kuunga zisizo na chembe ya pesa ya wizi ,au dhuluma, ili tuoneshane makali barabarani,
 
Sijaisoma mkuu, nitumie pm kama uli copy
Siku copy coz sikujua kama lifespan yake ni fupi hivyo.

But ilianza na kikao cha BT , kabla chairperson wa kikao hajafika wajumbe waliokuwepo kwa kikao wakimsubiri Chair wa Kikao ambaye ni BT walikuwa na jambo wanateta, Mjumbe mmoja kijana alikuwa anatetea vibarua wa kampuni na mmoja mtu mzima akawa anampiga mkwara kwamba kama anahuruma atoke na akitoka atashughulikiwa ipasavyo,

Inshort mjumbe mwenye imani na kampuni aliambiwa ajifunze kuchota bila huruma, wakati wanateta hayo Chairperson yupo zake room ya 2 anawasikilizia na tabasamu kama kawa usoni, kumbe Chairperson ana kawaida ya kutega vinasa sauti sehemu wanazofanyia mitingi bila wajumbe wengine kujua.

Riwaya ikaruka tena kwa mazungumzo ya Branch manager aliyepita mzizima akiwa analalamika kwa kigogo anayeramba asali kwamba account zake 2 hana access nazo kutoa mzigo huku akiporwa baadhi ya mashamba, viwanja na nyumba zake, lakini wakati huo huo Branch Manager akipiga mkwara ana docs inayomfanya asiogope mtu, na kwamba hawezi kuisema sasa coz anasubiri muda, yule kigogo alitamani aijue badala yake akamwambia kwamba current CEO ana mpango wakumrudisha kwenye U Branch manager,

Naona kama PM alikataa hiyo offer,

Inshort The former Branch manager inaonekana ana siri nzito ameificha coz anatamba kwamba hawezi kupelekwa mahakamani wala jela kwa namna yeyote ile coz wakifanya hivyo kitanuka [emoji1],

Na Kigogo akamhakikishia kwamba CEO anamlinda na asiwe na shaka.

Kampuni ngumu sana hii aisee

ANGALIZO.
Riwaya hii haina ukweli wowote, na mimi nimehisi tu alichoandika mtunga Riwaya, wala sijasoma na sijui kama alituma kipande kingine hapa.
 
Niliisoma mzee baba, iliondolewa
Kama ulisoma basi ilikuja
Kwa device yako only kisha ikatowekea huko huko, sioni sababu ya hicho kipande kutoweka huku uzi ukiwa bado upo tena hai!

Binafsi nina copy ya post zote za hiyo story hivyo kama zitafutwa mie nitazirudisha kwa kujitolea.

Sasa we mzee baba ulishindwaje kucopy hiyo episodes ili ututhibitishie kuwa kweli ilitumwa na ukaisoma?

Nina mashaka na weredi wako.
 
Kwenye swala linalohusu Riwaya sina haja ya kutumia weredi,
Nakushangaa wewe unayetafuta uweredi kwa hadithi.
 
U
Siku copy coz sikujua kama lifespan yake ni fupi hivyo.

But ilianza na kikao cha BT , kabla chairperson wa kikao hajafika wajumbe waliokuwepo kwa kikao wakimsubiri Chair wa Kikao ambaye ni BT walikuwa na jambo wanateta, Mjumbe mmoja kijana alikuwa anatetea vibarua wa kampuni na mmoja mtu mzima akawa anampiga mkwara kwamba kama anahuruma atoke na akitoka atashughulikiwa ipasavyo,

Inshort mjumbe mwenye imani na kampuni aliambiwa ajifunze kuchota bila huruma, wakati wanateta hayo Chairperson yupo zake room ya 2 anawasikilizia na tabasamu kama kawa usoni, kumbe Chairperson ana kawaida ya kutega vinasa sauti sehemu wanazofanyia mitingi bila wajumbe wengine kujua.

Riwaya ikaruka tena kwa mazungumzo ya Branch manager aliyepita mzizima akiwa analalamika kwa kigogo anayeramba asali kwamba account zake 2 hana access nazo kutoa mzigo huku akiporwa baadhi ya mashamba, viwanja na nyumba zake, lakini wakati huo huo Branch Manager akipiga mkwara ana docs inayomfanya asiogope mtu, na kwamba hawezi kuisema sasa coz anasubiri muda, yule kigogo alitamani aijue badala yake akamwambia kwamba current CEO ana mpango wakumrudisha kwenye U Branch manager,

Naona kama PM alikataa hiyo offer,

Inshort The former Branch manager inaonekana ana siri nzito ameificha coz anatamba kwamba hawezi kupelekwa mahakamani wala jela kwa namna yeyote ile coz wakifanya hivyo kitanuka [emoji1],

Na Kigogo akamhakikishia kwamba CEO anamlinda na asiwe na shaka.

Kampuni ngumu sana hii aisee

ANGALIZO.
Riwaya hii haina ukweli wowote, na mimi nimehisi tu alichoandika mtunga Riwaya, wala sijasoma na sijui kama alituma kipande kingine hapa.
Umejitahidi kutunga "kamwendelezo" ka kupozea arosto 😂

Ngoja tuendelee kumsubiri yoga
 
Kama huwezi kutumia weredi kisa riwaya basi uache kiherehere cha kujitangaza kuwa umesoma story kisha ikaondolewa.

NB
Ina ugomvi na wewe.
Siwezi kuacha kiherehere kwa kauli yako aisee [emoji1] [emoji1787], niache Kiherehere nimuachie nani? Wee jamaa unaona wivu na kiherehere changu aisee? Don't be too serious aisee, maisha haya usikute hapa mimi umri wangu unakaribia wa babu yako na ninamiliki jiko la mkaa
 
Hata ukimiliki jiko la kuni ni mali yako babu wa kiherehere 😂
 
Back
Top Bottom