Dark days 17/03/20...

Bahati nzuri au mbaya hata wewe hujui Kama anasema uongo au ukweli.

Gang tunafatilia kwa unakini Kuna vitu tutaunganisha Kisha tumlabe chekacheka.
 
kama unakumbuka baada ya kupewa uCEO alimuagiza bwana mahesabu akague miamala yote kuanzia Januari mpaka Machi. Ripot hata haikueleweka,nadhani waliamua kutunziana heshima tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23] guys who told you there is so called "truth" in this narrations?? [emoji23][emoji23]

By the way our new CEO is now busy. few days ago, level two of the mission "checks and balance" was deployed! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] stage one on that level inatekelezwa kwa kasi, and the next stage, is stage two!! [emoji23][emoji23][emoji23] The top head in one of the securty agency is about to be taken down!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Lets wait for another episode ....,[emoji23][emoji23][emoji23]
 
When another episode?
 
When another episode?
Soon my friend, kuna kijigroup cha watu hapa bwana kime catch feeling kina relate na vitu vyao wanavyotaka!![emoji23][emoji23]

Afu ushamba nyie yaani unakuja pm unasema eti we are watching you carefully [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wacha weeee!!

Em tulieni bwana tusome tu!! [emoji23][emoji23]

Huyo mzee mnamtaja hapa kuwa na muonea na kumchafua hakuna mahala ametajwa!![emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapa namuona the current president of Kenya.
 
Do you mean the appointment of the police man will be terminated?
 
Hii story nimecopy nataka niisome vizuri weekend hii baada ya kuwa nime-decode kila kitu, ni page 24. halafu nina wasiwasi haya ma-idiots ya kampuni anayoiongelea yoga yanaweza kuikatisha na kuifuta wakati wowote
Mkuu sorry kama ntakukwaza naomba unitumie yote na mimi dm maana tayari Kuna vipande huko nyuma walishavichomoa, kama hutojali lakini.
 
Bahati nzuri au mbaya hata wewe hujui Kama anasema uongo au ukweli.

Gang tunafatilia kwa unakini Kuna vitu tutaunganisha Kisha tumlabe chekacheka.
Hamuwezi kumfanya chochote..

Yule mtoto wa mjini kitambo, mmeshindwa kumfanya chochote Mbowe ndio muweze kwa Born Town. Nyie mjini si mmekuja na treni, rambo na ndala wakiwaona
 
Watu wanajihisi hakuna mtu kamtaja mwenzake mimi kuna mtu kwenye comment kaniuliza kuwa tumwache mzee wa msoga nikamuuliza huyo mzee wa msoga ndo yupi mimi mbona simjui? Kakaa kimya maana kajiona mmbea.

Wewe shusha anaza episode mwendo wa code mwanzo mwisho.
 
Old boss is now a new CEO ...though kuna CEO kivuli... Na it seems Kama old boss this time around ameamua kuibinafsisha kabisa kampuni na kuifanya ya kifamilia....Mabwenyenye hawajali sana mabadiliko yanayotokea ndani ya kampuni as long as wao commission yao iko palepale, wanaoumia na kutoa macho ni watumiaji wa mwisho wa bidhaa zinazozalishwa na kampuni kwani siku zimekua kwenye mfumuko wa bei kila uchwao na isitoshe now days kampuni haiajiri kwa wingi tena...Wengi tumebaki kuomba MUNGU tu..


NO DOUBT..
 
Hahaha kwa hiyo unahisi old CEO ana njaa na k kiasi hicho au sio?
 
Unaona sasa! [emoji15][emoji15][emoji15] Unataja watu waheshimiwa hata hawausiki na fasihi yetu[emoji23][emoji23]

Hem kuwa na nidham bwanaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kazi kwako kuendelea na fasihi.

Tafuta Publisher nzuri utapiga sana hela kuliko yule wa Prisident loves my wife. Lakini usituwekee bei kama za Jasusi wa Chadema..

Kudos!!
 
Hii hadithi watu wanapata munkari...ni hadithi tu kama nyinginezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…