Dark days 17/03/20...

Hatari we kamama unatisha kama njaaa balaa story tamu kinoma
 
Tunajuwa unalipwa kukanusha. Wewe na wao "iko dugu moja"
 
Noted
 
Amesema ni story tu!

KWANINI ukoo siriaz na story TU!!?
 
Huu Uzi kiboko:

Comments 6000+
Views/wasomaji 1M+

Mange ni kichwa balaa!
Riwaya tu TISS hawalali.
Yale maandamano yake feki Siro na vijana wake hawakulala wiki.

Shikamoo Da'Mange.
It make sense the day amefungiwa account yake instagram same time mwandishi wa riwaya akapotea jamvini. Jana karudi online na kuingia live instagram the same day mwandishi wa riwaya pia amerudi jamvini. Anyway just connecting dots.
 
Yoga angekuwa ni Mange mngesoma hii story kwa kumlipa $.

Umeelewa kijana?
 
Hii ni story tu wala haimaanishi chochote, sasa povu la nini we mzaramo?
 
Acha uongo. Lile ni shirika la umma, siyo kampuni binafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…