Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 8,257
- 11,499
Mkuu yoga kalike comments yako ina maana yupo na anafuatilia.Huu Uzi kiboko:
Comments 6000+
Views/wasomaji 1M+
Mange ni kichwa balaa!
Riwaya tu TISS hawalali.
Yale maandamano yake feki Siro na vijana wake hawakulala wiki.
Shikamoo Da'Mange.