Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

WAKUU NAMLETA KWENU KITILA MKUMBO

"Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Prof. Kitila Mkumbo amesema Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayotumika kwa sasa ni ya demokrasia ya Chama kimoja.

Amesema hali hiyo imechangia kuwa na demokrasia dumavu ambayo inapelekea kuchelewa kwa maendeleo, ambapo amedai kuwa kuna uhusiano wa demokrasia bora na maendeleo

Pia ameshauri kuwa Katiba mpya ni muhimu ili kuwezesha demokrasia ya vingi kustawi ambayo itawezesha wananchi kushiriki ipasavyo.

Amesema kuwa kwa mazingira ya demokrasia ya sasa ni rahisi kutabilika tofauti na ilivyo kwa Kenya, ametoa mfano kuwa ni rahisi kutabili kuwa CCM itashinda uchaguzi 2025 kwenye nafasi ya Urais, amedai kuwa hiyo inachangiwa na takwimu za matokeo ya Urais kwenye chaguzi zilizopita.

Prof. Kitila Mkumbo ameyasema hayo leo Septemba 15, 2022 katika mdahalo ambao umeandaliwa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Nchini (LHRC) kwa kushirikiana na wadau wengine, katika siku ya demokrasia duniani ambayo imekuwa ikiadhimishwa kila mwaka."

WALE WA APPLIED MATHEMATICS NAOMBENI HESABU KAMILI KWA KUTUMIA KIKOKOTOO CHA NDUGU TUMIA AKILI
 
Siku tisini halafu nyingine mia themanini tayari!hii ni Baada ya ile ya kustaafu!!
 
Yani wabinya pumbu wanapita KilA muda....aheri mi sikutiA neno
Hawawezi kuhangaika na sisi!

Sisi ni Raia wa kawaida ambao tunachangia uchumi WETU KWA kununua MBS tu!

Wana deal na wenzao wa kwenye team tofaut tofauti kama huyo yoga ana team yake ambayo Uzi Huu ulikuwa unasukuma kete Fulani kuhusu wanachopigania WAO na wanakijua WAO wenyewe sisi ni mashabiki tu wa story!!
 
Bora alete muendelezo wa story tuendelee kuburudisha macho na bongo zetu tu
Mwenye uzi wake anasema kaeni mkao wa kula anakuja na nondo Sio za Dunia hii, next week ,amekua busy kidogo na kureport vita ya Urus na Ukrein, KWa sasa atakuja na mawe , bandika bandua

Back
Top Bottom