Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Nikimfikiria the new boss Huwa nawaza mengi sana.Kuna kauli ya watu flani wanasema ...Rise up and kill them first.... labda angeitumia angeepusha collateral damage iliofuatana na kuhalalisha mauaji yake..Alisikia watu wakipanga kumuua lakini akawasamehe. Hiki ndio nakichukikia kwa viongozi wengi wa kiafrika wenye mawazo ya kizalendo.Nabaki najiuliza why they are so clueless?
Aliwasamehe? Thubutuuuu.... Alipambana nao akachemka
 
Mkuu

Mchawi gani anaerudisha misukule!!?

Tuheshimu kazi yake ni kubwa mno!!

Kwanini usiimbe hivi;-

"Mzee WARIOBA arudishwe KWENYE kikosi kazi cha mkandala mchakato wa katiba mpya ukamilike"
Hata wachawi wa farao nao walifanya miujiza kwa kutengeneza nyoka kisanii mbele ya nabii Mussa , so bishop wako anaweza rudisha misukule kisanii ili kunogesha uchawi wake aendelee kupiga hela.
 
Hakuna majungu hapa bali tunapeana ukweli, huyo ni bishop akiwa church Ila akiingia kawe vijiweni anakuwa ustaadhi Rashid, akienda nightclub anagegeda makahaba huko, sasa huyu sio mchawi kweli?
Hahaaaa, akiwa bungeni anakuwa mbunge, akiingia...... Anakuwa.....,...

Kaz kwel kwel. Bas sawa.
 
Back
Top Bottom