Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Customers tupo tu kusubiri matokeo,. Ila kuna watu wanaumiza vichwa, kuhusu gawio la kampuni liwafikie na customers wa kampuni kwa aman.
Tunamsubiria yoga atupe muendelezo!!

Amekwama mahali!!nadhani kinahitajika kamba kumvuta alipokwama Ili arudi jukwaani!!

"Mzee Warioba arudishwe kwenye kikosi kazi cha mkandala mchakato wa katiba mpya ukamilike"
 
Yupi!!?

Yule anaefanya siasa na mahubiri kwa pamoja!?

Lile ni jabali nadhani ndio mbunge pekee wa ccm anaeweza kujaza mikutano Bila msaada wa malori ya chama na serikali!!

"Mzee WARIOBA arudishwe KWENYE kikosi kazi cha mkandala mchakato wa katiba mpya ukamilike"
Yaani mchawi unamwita jabali?

Umetuaibisha walokole kijana!
 
Nikimfikiria the new boss Huwa nawaza mengi sana.Kuna kauli ya watu flani wanasema ...Rise up and kill them first.... labda angeitumia angeepusha collateral damage iliofuatana na kuhalalisha mauaji yake..Alisikia watu wakipanga kumuua lakini akawasamehe. Hiki ndio nakichukikia kwa viongozi wengi wa kiafrika wenye mawazo ya kizalendo.Nabaki najiuliza why they are so clueless?
 
Back
Top Bottom