B51
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 582
- 798
Hii picha JK kavaa bulletproof? Mbona katuna sana kifuani?Tanzania iko salama sasa kwa hili tabasamu la ushindi,jamani karibuni kijiweni kwangu nauza mihogo,viazi vitamu,Magimbi na maboga ya kuchemsha na chai,uji na juisi[emoji51]
Banda linakesha [emoji51][emoji51][emoji1241] Amani imetawala.