Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Kwa hiyo nzee kenyata kawakataa wateule na team late CEO au?na yawezekana Ruto alitonywa siku ile kwenye basi kwamba anachunguzwa?msaidieni huyu bi hangaya jamani wenye nafasi ya kufanya hivyo..si kila analoshauriwa anafanya tu!!Mwigulu akiamka na lake akimshauri ye anapita nalo!!Wale wamama aliowajaza wawe sehemu ya Baraza ndiyo kabisaaa...wakipiga story usiku vyumbani wakiamka asubuhi wanampigia simu hangaya "shougaaaaah.."ye anakurupuka anapita nayo!!Sasa huyu hatapewa sumu ila anajimaliza mwenyewe taratiiiibu.
 
Hii ni stori mbona unatamka majina ya watu Wewe!!?
 
JAKAYA KIKWETE THE NEW UNITED NATIONS GENERAL SECRETARY......is.... loading............
Huyu mzee Mungu ambariki sana, kwenye utawala wake nilikuwa mtu mwenye furaha kupitiliza, nilikula good moments haijawahi tokea, mengine ni mapungufu ya kawaida ya kibinadamu tu ila kazi aliiweza sana
 
Nampenda pia nampenda Sana Mungu amuweke kwa ajili yetu wachache tunaompenda[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Kwa hiyo nzee kenyata kawakataa wateule na team late CEO au?na yawezekana Ruto alitonywa siku ile kwenye basi kwamba anachunguzwa?msaidieni huyu bi hangaya jamani wenye nafasi ya kufanya hivyo..si kila analoshauriwa anafanya tu!!Mwigulu akiamka na lake akimshauri ye anapita nalo!!Wale wamama aliowajaza wawe sehemu ya Baraza ndiyo kabisaaa...wakipiga story usiku vyumbani wakiamka asubuhi wanampigia simu hangaya "shougaaaaah.."ye anakurupuka anapita nayo!!Sasa huyu hatapewa sumu ila anajimaliza mwenyewe taratiiiibu.
[emoji23][emoji23][emoji23] yaan hapo pa "shougeerrr* nimeisikilizia kwa lafudhi ya kiarusha
 
Back
Top Bottom