Bachelor OG
JF-Expert Member
- Aug 27, 2022
- 878
- 1,195
Kama walifanya hivyo kwa usalama wa kampuni na amani ya customers basi Born Town anastahili pongezi sana ni Kama Yesu ile siku alipozinusuru Nafsi za Wanafunzi wake dhidi ya dhoruba chombo lilipokwenda mrama katikati ya Bahari.Tuko fine Sana madame Ila sas leo born town katoa kaspeech kuhusu nyongeza ya mihula ya kuongoza kampuni jinsi walivyo ratibu vikao kwa njia ya simu na wazee baadhi ambao hajawataja na Kisha kukemea kuhusu Hilo swala la bwana jiwe na teamu yake ya kutaka kuaribu utaratibu wa kuongeza vipindi vya kuongoza kutoka 5 had 7 Kisha awe rais wa milele
Wakati born town anaongea nilikukumbuka sna nikasema Hama kweli jiwe walimuondoa kimkakati sna it not a natural death Ni mpango makakati huo uliratibiwa vyema ,
Sasa kina bachelor og waje kubisha tena
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
AMKA TOKA USINGIZINI UTAJIKOJOLEA.Matukio haya yanaendana kabisa na story yetu !!
Ina maana hawa jamaa wanakula hbd zao za Mwisho kabla ya wimbi la nne la covid-19!!
Wimbi hili ni kichaka!
Hawa jamaa ni majasiri Sana aiseh!!!
Mungu ibariki kampuni yetu!!
In the loving memory of
Mzee,By,Mr Tanzanite!!and kp !!?
Let's wait!!
Tunaunga dots tu!AMKA TOKA USINGIZINI UTAJIKOJOLEA.
yoga hadanganyi mkuu!!AMKA TOKA USINGIZINI UTAJIKOJOLEA.
We unafuatilia ili iweje kama stori ni za kishamba na uongo?Story za kishamba na uongo uongo mna shadadia sana Yoga naona hujakoma eee
Ahhh wee, unataka ashushe mzigo nyonga ivunjike na safari iwe basi?!?!.... huenda na kibanda nacho kikaungua pamoja na nyasi shambani, akakosa kuezeka paa.... almashuru bora awe anatingisha kichwa tu na kikombe cha kahawa mkononi, maana ni kizee majirani watasema anasinziaAngalau nenda KWa mtindo huu, ule wa kwanza sio
Hasa uyu mzee AK huwa wa kupiga like , huku akila supu yake na kutuchora, sio fair Mzee kutuchora shusha vitu mzee tupunguze stress za Tozo[emoji23]
Usiwe unawasoma Hawa viumbe comment zao Ni mipuuzi yamo yamo tu dunia kuzurura[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
nani anataka story za wajanja na za kweli?, . Humu JF ,story fake,majina fake,avatar fake, USIPANICStory za kishamba na uongo uongo mna shadadia sana Yoga naona hujakoma eee
Dear its is so funny!! Am enjoying this sababu its like mtu ana kasirika vuuup with no sababu ati!![emoji28]Usiwe unawasoma Hawa viumbe comment zao Ni mipuuzi yamo yamo tu dunia kuzurura
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Nilipokutuma sio huku ni Kule kwingine.....unajiongezea majukumu ili nikupandishe cheo sio? Wacha kiherehere nyamafu weeStory za kishamba na uongo uongo mna shadadia sana Yoga naona hujakoma eee
Saa100 tunakusubiria ushushe muendelezo wa riwaya yetu inayoelezea kuhusu Kampuni. Mzigo mpya lini bi.tozoDear its is so funny!! Am enjoying this sababu its like mtu ana kasirika vuuup with no sababu ati!![emoji28]
Ok ntaacha!! Thanks[emoji3526]
Hahahaaaaa....nshamsomaaa...alikata mauno kinyama kwenye bendi ya twanga pepeta hahahaaaaaUnawafahamu Twanga Pepeta?
Ishiiiiiy anae umia ajinyonge. Hii ni simulizi kama simulizi nyingineDear its is so funny!! Am enjoying this sababu its like mtu ana kasirika vuuup with no sababu ati!![emoji28]
Ok ntaacha!! Thanks[emoji3526]
Wewe leta story hapa acha kuchekacheka ovyo kama huna bando sema nikuwekee gb za kutosha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]