Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

.
20220901_151432.jpg
 
Tuko fine Sana madame Ila sas leo born town katoa kaspeech kuhusu nyongeza ya mihula ya kuongoza kampuni jinsi walivyo ratibu vikao kwa njia ya simu na wazee baadhi ambao hajawataja na Kisha kukemea kuhusu Hilo swala la bwana jiwe na teamu yake ya kutaka kuaribu utaratibu wa kuongeza vipindi vya kuongoza kutoka 5 had 7 Kisha awe rais wa milele

Wakati born town anaongea nilikukumbuka sna nikasema Hama kweli jiwe walimuondoa kimkakati sna it not a natural death Ni mpango makakati huo uliratibiwa vyema ,
Sasa kina bachelor og waje kubisha tena

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kama walifanya hivyo kwa usalama wa kampuni na amani ya customers basi Born Town anastahili pongezi sana ni Kama Yesu ile siku alipozinusuru Nafsi za Wanafunzi wake dhidi ya dhoruba chombo lilipokwenda mrama katikati ya Bahari.

NAJARIBU KUFIKIRI NJE YA ULIMWENGU.
 
Matukio haya yanaendana kabisa na story yetu !!

Ina maana hawa jamaa wanakula hbd zao za Mwisho kabla ya wimbi la nne la covid-19!!

Wimbi hili ni kichaka!

Hawa jamaa ni majasiri Sana aiseh!!!

Mungu ibariki kampuni yetu!!

In the loving memory of

Mzee,By,Mr Tanzanite!!and kp !!?

Let's wait!!
AMKA TOKA USINGIZINI UTAJIKOJOLEA.
 
Angalau nenda KWa mtindo huu, ule wa kwanza sio

Hasa uyu mzee AK huwa wa kupiga like , huku akila supu yake na kutuchora, sio fair Mzee kutuchora shusha vitu mzee tupunguze stress za Tozo[emoji23]
Ahhh wee, unataka ashushe mzigo nyonga ivunjike na safari iwe basi?!?!.... huenda na kibanda nacho kikaungua pamoja na nyasi shambani, akakosa kuezeka paa.... almashuru bora awe anatingisha kichwa tu na kikombe cha kahawa mkononi, maana ni kizee majirani watasema anasinzia
 
Vijana wa zamani wakati wapo vyuo vya elimu ya juu watakumbuka ujumbe uliokuwepo katika matangazo ya "Mzee Punch"

Ijapokuwa alitumia lugha yenye "codes" nyingi ndani lakini zilikuwa ni rahisi, na maudhui yake yalikuwa ni rahisi kuyang'amua. Mtindo wa simulizi hii ya Yoga ina ujumbe wenye kufanana na ule wa "Mzee is incognito"
 
Back
Top Bottom