Barnabas Mashamba
JF-Expert Member
- Jul 4, 2020
- 797
- 2,233
Hadithi ilipaswa kuwa jukwaa la entertainment, hapa lazima watu waiumizie vichwa.Hadithi inachanganya watu....
Wanaumba wahusika vichwani..
Sawasawa..Hadithi ilipaswa kuwa jukwaa la entertainment, hapa lazima watu waiumizie vichwa.
Hivyo mods wanapashwa kuihamishia jukwaa la entertainment ili iwe burudani kwa wana JF, kuiacha kwenye jukwaa la Intelligence inasababisha watu waiumbie wahusika kwa kuona tu title na yaliyomo japokuwa ni spinning.
🤣🤣🤣....Hadithi kama hadithi zingine ubaya ni kuwa akili aitaki kukubali kuwa ni hadithi.😬😬
Unchicha mwiba ulikujaga kumgharimu inasemwa.Ina MAANA hata kimoja alikiwa hapigi!!!???alizaaje Sasa!!!??
Wewe na huyu mwenzako,mmekomaa kujadili ulijali wa mwanaume mwenzenu na hamuoni aibu!!!!Mkuu nasikia ni kile cha sec kumi, ambacho wanawake husema kinawachafua tu[emoji23][emoji23]
Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
hii code mkuu imefungwa sana nifungulie...Unchicha mwiba ulikujaga kumgharimu inasemwa.
Inasemwa alipendaga sana unyumenyume kipindi akiendaga2sikinde na msondo kabla ya uce'ohii code mkuu imefungwa sana nifungulie...
Binti acha maswali lete mwendelezo Kuna hela zako ukimaliza tupiamo namba yako hapa tukupe.[emoji23][emoji23][emoji23] tuendelee au mmechoka jamani??
Uko sahihi...Hadithi inachanganya watu....
Wanaumba wahusika vichwani..
🤣🤣Uko sahihi...
Mimi mwanzoni niliona kama hadithi tuu...lakin duu..nimeanza kuamini...nimeumba wahusika kichwani na matukio yote ...bad thing nimeanza kuamini...poor me!!!!
Vipi tunaendelea ama? Weekend inaboa sanaThings are very messy!!
Yoga kalala muda huuHuu uzi kuna mtu kaukalia, uzi hausogei wakati ndio habari ya mjini.
Poleni kwa vitisho mnavyojutana navyo PM.Vipi tunaendelea ama? Weekend inaboa sana
Yaaa uko makini Sana kijana(1). New CEO kaenda ziarani nje ya kampuni kupata briefing kutoka kwa kijana wake... around end of mwezi ''FEBRUARY 2022''.
(2). Wakati hayo yakiendelea huko Dubai, the Old CEO anasmell something fishy kuhusu 'excessive loyalty' ya new CEO kwake.
(3). The old CEO anaamua kumtafuta 'kijana' wake ili wamtafute Mwenyekiti wa Board amchokonoe new CEO deliberately in public ili old CEO agundue kitu fulani alichokuwa anakihisi kwa new CEO.
(4). Mara baada ya uchokonozi huo wa makusudi wa Board Chairman, the new CEO aka-react harshly, na instantly the board chairman akatumbuliwa kwa mwamvuli wa 'resignation'... tarehe ''6 JANUARY 2022''.
(5). Upon such harsh reaction ya new CEO towards the board chairman, the old CEO akaconclude kitu alichokuwa anakihisi kwa new CEO.
_____________________
The dates za matukio halisi hazi-correspond na mtiririko wa matukio kwenye hii hekaya ya yoga.
New CEO akaenda Dubai mwezi February 2022. Then akaja kumtumbua board chairman mwezi January 2022.
This narration is just selling some cheap smokes !!
Wrap it up guys. [emoji41]
-Kaveli-
Your a great thinker wa ukweliTatizo humu JF mnapenda sana hizi story.
Na huwa mnaziamini.
Ila kaa ujue hakuna inside informations zinatolewaga kizembe (hivi tena zinazohusu life za watu wakubwa kabisa).
Eti mtu atiririke kama gazeti hivi, tena kweupe hivi. Hakuna kitu kama hicho.
Hizi informations huwa zinafichwa kwa gharama yoyote ile.
Zikitolewa huwa zinatoka kwa uchache tuu.
Sio mtu anasimulia ya upande A, upande B na upande C yote yaliyofanyika anayajua. Hiyo collection ya hizo taarifa aliiwezaje wakati kila upande unajilinda taarifa zisivuje? Kama sio Utunzi .