Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Hadithi inachanganya watu....
Wanaumba wahusika vichwani..
Hadithi ilipaswa kuwa jukwaa la entertainment, hapa lazima watu waiumizie vichwa.

Hivyo mods wanapashwa kuihamishia jukwaa la entertainment ili iwe burudani kwa wana JF, kuiacha kwenye jukwaa la Intelligence inasababisha watu waiumbie wahusika kwa kuona tu title na yaliyomo japokuwa ni spinning.
 
Hadithi ilipaswa kuwa jukwaa la entertainment, hapa lazima watu waiumizie vichwa.

Hivyo mods wanapashwa kuihamishia jukwaa la entertainment ili iwe burudani kwa wana JF, kuiacha kwenye jukwaa la Intelligence inasababisha watu waiumbie wahusika kwa kuona tu title na yaliyomo japokuwa ni spinning.
Sawasawa..
 
(1). New CEO kaenda ziarani nje ya kampuni kupata briefing kutoka kwa kijana wake... around end of mwezi ''FEBRUARY 2022''.

(2). Wakati hayo yakiendelea huko Dubai, the Old CEO anasmell something fishy kuhusu 'excessive loyalty' ya new CEO kwake.

(3). The old CEO anaamua kumtafuta 'kijana' wake ili wamtafute Mwenyekiti wa Board amchokonoe new CEO deliberately in public ili old CEO agundue kitu fulani alichokuwa anakihisi kwa new CEO.

(4). Mara baada ya uchokonozi huo wa makusudi wa Board Chairman, the new CEO aka-react harshly, na instantly the board chairman akatumbuliwa kwa mwamvuli wa 'resignation'... tarehe ''6 JANUARY 2022''.

(5). Upon such harsh reaction ya new CEO towards the board chairman, the old CEO akaconclude kitu alichokuwa anakihisi kwa new CEO.
_____________________

The dates za matukio halisi hazi-correspond na mtiririko wa matukio kwenye hii hekaya ya yoga.

New CEO akaenda Dubai mwezi February 2022. Then akaja kumtumbua board chairman mwezi January 2022.

This narration is just selling some cheap smokes !!

Wrap it up guys. [emoji41]

-Kaveli-
Yaaa uko makini Sana kijana
 
Tatizo humu JF mnapenda sana hizi story.
Na huwa mnaziamini.

Ila kaa ujue hakuna inside informations zinatolewaga kizembe (hivi tena zinazohusu life za watu wakubwa kabisa).

Eti mtu atiririke kama gazeti hivi, tena kweupe hivi. Hakuna kitu kama hicho.
Hizi informations huwa zinafichwa kwa gharama yoyote ile.
Zikitolewa huwa zinatoka kwa uchache tuu.

Sio mtu anasimulia ya upande A, upande B na upande C yote yaliyofanyika anayajua. Hiyo collection ya hizo taarifa aliiwezaje wakati kila upande unajilinda taarifa zisivuje? Kama sio Utunzi .
Your a great thinker wa ukweli
 
Back
Top Bottom