chlorine gas
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 2,522
- 2,651
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lengo ni nini kaka mkubwa kuweka hivi vinukta nukta?
Uzi usinipotee sipati notificationLengo ni nini kaka mkubwa kuweka hivi vinukta nukta?
Sawa muraaaaa LINDO liko salama!!!!Uzi usinipotee sipati notification
Alaah!!! Mbona nihatarZindiko la mwenge wa uhuru lilipochezewa nyakati zile za hofu ya UVIKO 19, na kufungiwa ili uache kuangaza, likaondoka na kichwa cha mtu ili kufidia ile kafara kusudiwa ya kuzidi kuwapumbaza watu wa nchi ile.
Mwenge huo mwengee..
Mbio mbiooo....