Dark days 17/03/20...

Makinda kasema Dar ina watu 5.7m na mwanza 3m.sio hizo ulizoziandika
Mza 3.6, dar 5.7, mbeya, Arusha, Dom nk zinaweza badili pakubwa matokeo ikiwa watu watakuwa na mwamko wa kupiga kura Kwa weledi na HAKI.

Tunapata tafsiri kuwa nguvukazi imeyakimbia mashamba na kuhamia mijini, wakiachwa wazee na wanawake kulima.

Tusipowekeza ktk kilimo Cha kisasa na kuwashirikisha Uchumi vijana, Bomu litatulipukia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…