Dark days 17/03/20...

Hadhi ya ofisi ya CEO wa kampuni imekuwa ikibadilika badilika kutokana na haiba na hulka binafsi ya "office bearer" na wala si kuendana na matakwa ya "culture" . Jambo hili limepelekea uongozi wa kampuni uwe chini ya maslahi binafsi ya kundi fulani lenye kummudu CEO aliyepo madarakani.

Jambo la hatari ni pale viongozi wa vyombo vya kuthibiti usalama na ulinzi wa kampuni vinapokuwa si sehemu ya maslahi mapana ya kampuni, na badala yake kuwa ni sehemu ya maslahi binafsi ya kundi dogo lenye mikakati ya siri ya kuzidi kuneemeka na mali zote za kampuni.

Jambo la hatari zaidi ndani ya simulizi hii ya Yoga ni kuwa, ni kundi hili tu ndilo lenye kuamua nani awe nani ndani ya kampuni, na pia wao tu, watoto wao na jamaa zao ndiyo pekee wenye kuweza kuaminika kushika vitengo vyote nyeti ndani ya kampuni.

Kampuni inapoelekea itakuwa ni ya watu kutoka ndani ya kundi hilo ndio pekee watapaswa kuandaliwa kuishika nafasi ya uCEO, na kwa mtindo wa kirithishana kama vile ni milki ya kifalme. Baba alikuwa CEO, mtoto atakuwa CEO, mjukuu pia ataandaliwa kuwa hivyo hivyo, hatimaye milki ya kifalme itakuja kuwa sehemu ya koo fulani fulani tu ndani ya kampuni.

Umuhimu wa mchakato wa kupata "new culture" ndani ya kampuni ni muhimu mno. CEO wa sasa wa kampuni akitaka kuweka historia kubwa katika maisha yake, itampasa afanye hivyo, la sivyo kundi hili lenye hila mbovu itakuja chukua muda mrefu kulithibiti, na hata kuiweka kampuni katika hatari ya kufilisika na rehani ya kupigwa mnada.
 
Word
 

Ili linachagizwa na ma-idiot anaowachagua kukaa wakimuimba kila wakati kila sehemu
 
Unabii wa 2023 Unaendelea:



MTO FRATI / EUPHRATES KUKAUKA.

MTO huu ni Moja ya mito mikubwa Duniani, Ina urefu wa 1700 miles na upana wa 1.7 miles.

MTO huu unapita ktk Nchi mbili za Syria na Iraqi. MTO huu ni Moja kati ya mito 4 iliyoizunguka Edeni.

MTO huu umekauka Kwa muda mfupi sana maana 2020 ulikuwa Haina dalili za kuwa kama ulivyo Leo.

UNABII KTK BIBLIA.

UFUNUO 16:12. Says:

Na huyo wa SITA akakimimina kitasa chake juu ya MTO Ule mkubwa FRATI, maji yake yakakauka, Ili njia itengenezwe Kwa WAFALME watokao ktk MAWIO YA JUA.

UFUNUO 9:14. Kufunguliwa Kwa Malaika 4 Walofungwa MTO FRATI. Bible says;

Sauti Kutoka PEMBE ya madhabahu iliyo mbele ya MUNGU ilisema, Ikimwambia yule Malaika wa SITA aliyekuwa na baragumu, wafungue, nao Malaika wanne waliofungwa kwenye MTO mkubwa FRATI/ Euphrates.


UFUNUO 6:7&8. Muhuri wa nne kufunguliwa 2019/2020:

Na tazama farasi wa RANGI ya kijivujivu na Yeye aliyempanda, Jina lake ni MAUTI na KUZIMU akafuatana naye.

Nao wakapewa mamlaka juu ya ROBO ya nchi, WAUE Kwa upanga, na Kwa njaa na Kwa Tauni na Kwa hayawani wa Nchi.

Muhuri wa nne ulipofunguliwa 2019/2020 ndipo liliruhusiwa JANGA la CORONA ktk Dunia.

Na Nia ni kuua ROBO ya Watu bil 7 waliopo duniani. Corona imeondoka na wake, vita zinaendelea na majanga mengine pia yanaendelea.

Nabii wa Mungu kabla muhuri wa nne kufunguliwa, aliambiwa Aombee Dunia Ili WAOKOLEWE angalau watu 50 milioni Kila Nchi Kwa wastani.

KUKAUKA Kwa MTO FRATI / Euphrates ni Ishara pia ya kufunguliwa Kwa Malaika 4 waliofungwa baada ya kuasi sawasawa na kitabu Cha mwanzo. Walifungwa ktk MTO huo na sasa wamefunguliwa (Ufu.9:14).

Malaika hao ndio watakaowaongoza WAFALME watokao ktk MAWIO ya JUA. East. Na watapita ktk MTO huo Ukiwa mkavu Kwa miguu kama ilivyotabiriwa ktk (UFUNUO 16:12.).

Na WAFALME hao 4 watapita ktk MTO huo, watembeapo Kwa miguu crossing FRATI river wakiwa na Askari wa vita 200 ml. Wakiongozwa na Malaika wanne waasi.

Baada ya dalili hizo na UFUNUO huo Kutokea, ISRAEL tayari inajiandaa Kwa vita 2023 maana unabii unasema mataifa yataungana kwenda kuishambulia Israeli.

ONYO.

Vita hivi vinavyoenda Kutokea ktk mataifa vinalenga kuua ROBO ya wakazi 7 bilioni walionktk uso wa Dunia,

Hivyo walioombewa wapone angalau watu ml 50 ktk Kila Nchi ktk Dunia ni WATAKATIFU, wamchao Mungu, Wana wa Mungu ndo watapona.

Malaika 4 waasi waliofunguliwa wataungana na shetani na majeshi yake kuua watu zaidi ya 1.8 bilioni people ambao ndo inakadiriwa kuwa ROBO ya Watu bil 7 Walio duniani.

Acha dhambi, Vaa magunia, uomboleze na mtafute Mungu Ili uwe mmoja wa watakaosalimika au kuokolewa.

Pesa ktk ac Yako, bunduki Yako, uchawi wako, au marafiki zako walevi hawatakuokoa ma majanga yajayo, njia pekee ni kugeuka na kutubu na kuacha UOVU.

Shetani anayewapumbaza ktk starehe na ulevi KAZI yake ni kuiba, kuharibu na kuua, hawezi Kuokoa, zaidi ya hapo anakuwazia mabaya akuangamize.


πŸŽ·πŸŽ·πŸŽ·πŸŽ·πŸŽ·πŸŽ·πŸŽ·πŸŽ·πŸŽ·πŸŽ·πŸŽ·πŸŽ·πŸŽ·πŸ“’πŸ“’πŸ“’πŸ“’πŸ“’πŸ“’πŸ“’πŸ“’πŸ“’πŸ“’πŸ“’πŸ“’πŸ“’πŸŽΊπŸŽΊπŸŽΊπŸŽΊπŸŽΊπŸŽΊπŸŽΊπŸŽΊπŸŽΊπŸŽΊπŸŽΊπŸŽΊπŸŽΊπŸŽΊπŸŽ·πŸŽΊπŸ”ŠπŸ”ŠπŸ”ŠπŸ”ŠπŸ”ŠπŸ”ŠπŸ”ŠπŸ”ŠπŸ”ŠπŸ”Š

Asomaye na Afahamu. Na mwenye sikio na asikie.

Ameeeeeen.
 
Aiseh

Ngoja niurudie ULE unyenyekevu wangu wa zamani

Nimeogopa Sana kwakweli!

Mungu atusaidie!!

Asante KWA NENO mtumishi!!
 
Aiseh

Ngoja niurudie ULE unyenyekevu wangu wa zamani

Nimeogopa Sana kwakweli!

Mungu atusaidie!!

Asante KWA NENO mtumishi!!
day is night and night is day, He is coming and he is on the way, he is coming, preparation is necessary day, morning, evening and night only those who seek the Lord and will see him in the party.
 
day is night and night is day, He is coming and he is on the way, he is coming, preparation is necessary day, morning, evening and night only those who seek the Lord and will see him in the party.
Those who seek him will see him in the PARTY kivipi tena CIA mgumu?

Ingawa hujakosea sana, me natafuta majibu ya Siasa za kidunia Biblically.

Hiyo ndo zamu yangu.

Ameeeen.
 
Those who seek him will see him in the PARTY kivipi tena CIA mgumu?

Ingawa hujakosea sana, me natafuta majibu ya Siasa za kidunia Biblically.

Hiyo ndo zamu yangu.

Ameeeen.
Sipo mbali sana ila nilitaka kuweka nguo ya kaniki mbele ili wasioijua kaniki ina rangi gani waone kuwa ni giza kumbe ni nguo tu ya kaniki na wakiitoa panabaki na mwanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…