Dark days 17/03/20...

Nape anasema Mama apewe mda hadi 2030 wakati Katiba inasema hivyo wala siyo huruma na utashi wa Nape na kwa kauli hii ya Nape inadhihirisha ni kiasi gani Mama hapendwi na wana ccm japo wanajificha kutoka hadharani kulikua na ulazima gani kwa Nape kutamka hoja ambayo katiba ya Nchi na Ya ccm Dr Samia bado anastahili kufika2030? Kauli ya Nape ni ya kiuhaini kabisa nilitegemea wangejitokeza wale maji safi kukemea kauli hii kama desturi yao kuwashambulia wenzao lakini nashangaa wapo kimya.....

Mama amekwisha jengewa boma wameshamzungushia michongoma na miiba sijui kama anajua na kama anajua basi hana uhakika au anajua ni utani tu tuliozea wa makabila yetu ila safari hii nasema wako serious very serious kuna jambo walijifunza 2015-21.
 
Dr Samia? Kumbe keshakuwa Dr mara hii?
 
Wewe Nani kakudanganya Jambo kama hili anaweza kufanya MTU mmoja?yaani taarifa kama hizi awe nayo MTU mmoja tumia akili.hiki ni kikundi cha watu.
Hiki ni kikundi cha watu wanaofanya kazi moja, na hupeana taarifa za kila mmoja. Anayeandika hapa ni mmojawapo kati ya hao na huandika baada ya kupewa taarifa za pande nyingine.
 
Huyo Mungu wa kwenye biblia hana fair kabisa haiwezekani kiumbe kilichopigana na malaika zake na yeye mwenyewe na kidogo kiwashinde eti anatuletea tupambane nacho sisi, anania njema na sisi kweli huyu Mungu wa kwenye vitabu tunavyosoma? Mwenye akili asome na aelewe
 
Maybe she/he is under control!

Au anasuburi wakati sahihi ufike!
No!

Unakumbuka kwenye uzi wake ule alipoandika;-

In the living memory of Mzee!

In the loving memory of Mr Tanzanite!
In the loving memory of BT!

Hadi mojawapo ikamilike ndani siku za mbeleni ndio she aendelee, HUWEZI endeleza hadi baadhi yakamilike hasa hizo loving memories!!

Kwanini naandika

Ndoto ya yule jamaa (Maharage ya ukweni)
 
Ninamashaka kama kampuni hii ina hao wanaojiita deep state/watu wanaolinda maslahi ya nchi Kwa sababu ya mambo yanayoendelea Kwa mfano ubadhilifu wa Mali ya Uma au ufisadi.watu wanajipigia kila upande.I think the don't care about us.
Deep state ipo!

Inafanya kazi sana katika Namna ambayo Wewe ni ngumu kung'amua!!

Mf;-

Awamu ya nne UFISADI ulitamalaki sana, UFISADI ule ulisaidia mzunguko wa fedha hata KWA masikini na ilipangwa iwe vile KWA kauli mbiu ya Maisha bora KWA KILA Mtz na kweli watu waliinuka kiuchumi Sana KWA kukwepa kodi,kielimu (tuliosoma KWA bodi ya mikopo na udahili chuo kikuu ukaongezeka Sana na ajira zikapatikana KWA wasomi),dili zikawa NYINGI Sana na full kujuana!!

Okh

Sasa deep state wakamuibua jpm,akaja akakaza na fedha NYINGI zikarudi KWA serikali Hadi matajiri wakafilisika na kodi ikawa juu na miundo mbinu ikajengwa haraka haraka!

Watu wakalimia meno kweli kweli na mafisadi wakakimbia NCHINI!

Sasa Hali imerudi tena kama awamu ya nne na itadumu KWA muda mfupi sana!haitokuwa tena miaka kumi kama ya jk bali itadumu chini ya miaka minne au mitatu (mtazamo Binafsi Baada ya ku digest nyuzi za ki jasusi humu jamvini)!!

Halafu

Atasimama jpm mwingine na fedha zitarudi serikalini na UFISADI utaisha kabisa na patashika ya mafisadit kuzirudisha fedha itavuma Sana!!

Chuma hicho kitadumu KWA miaka 12 Hapo mbeleni!!

Deep state inafanya kazi katika Namna ambayo SISI hatuwezi imagine hizo fedha zote zitarudi!

TUSUBIRI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…