Dark days 17/03/20...

Ila Chief Excutive Officer angekua na backup nzuri hata ya watu watatu angelishinda lile genge, walimvyomkwapua BWM na yeye hakustuka hapo ndo makosa yalianza.
Tatizo the late CEO alikuwa na akili kama rais wa zamani wa Uganda, fashist Dictator Nduli Iddi Amini Dadaa...

Amini aliwaua Maofisa wa vyeo vya juu jeshini na wasaidizi wake wote wa Karibu akihofu "eti" wanataka kumpindua. Kuanguka na kushindwa kwake kukaanzia hapo !

Late CEO naye alizungukwa na "mazuzu" akawarahisishia Kazi team retired CEO.

yoga@jamiiforums.com uzi wako hakika unaeleweka.
 
Mkuu...umeenda mbali hiko..
 

Taratibu tu tutajua yote. Lakini ilijulikana sana hii
 
mteteeni tu lakini lisemwalo lipo.
 
Yule jamaa US aliua watu Iraq, Yemen, Syria nk. Nini kilimtokea? Au uliposem watu ndo ulimaanisha wazungu wa Ukraine tu ndio watu?
 
Andika ueleweke, mafumbo yanini? Awamu ya kuogopana imeenda na maji. Kuwa muwazi ueleweke. Unaandika mafumbo mpaka mwenyewe unajichanganya. Si weka wazi tu majina na lichokikusudia kuandika.

Shule zingine za Tanzania ni majanga, mitihani kuanzia chekechea mpaka sasa mtu mzima na shughuli zako, mitihani imekukaa kichani unatupa sisi mtihani. Hizo ndio shule za kusomea ujinga, mmefinyangwa-finyangwa na mitihani mpaka bongo zimejitia loki, Funguka.
 
Bibi Umzima, Sio kila simulizi ni ya kila mtu sisi tumemuelewa ndo mana unaona uzi upo na posts more than 600+
 
Punguza ujuaji juha wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…