euca
JF-Expert Member
- Apr 6, 2015
- 3,811
- 4,178
Hakuna muendelezo hapa yoga atakuwa ashapigwa piniHiii story inataka uwe genius kuweza kufungua codes na kuelewa undani wake
Nasubiri next episode..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna muendelezo hapa yoga atakuwa ashapigwa piniHiii story inataka uwe genius kuweza kufungua codes na kuelewa undani wake
Nasubiri next episode..
Tatizo the late CEO alikuwa na akili kama rais wa zamani wa Uganda, fashist Dictator Nduli Iddi Amini Dadaa...Ila Chief Excutive Officer angekua na backup nzuri hata ya watu watatu angelishinda lile genge, walimvyomkwapua BWM na yeye hakustuka hapo ndo makosa yalianza.
Mkuu...umeenda mbali hiko..Tatizo the dIied CEO alikuwa na akili kama rais wa zamani wa Uganda, fashist Dictator Nduli Iddi Amini Dadaa...
Amini aliwaua Maofisa wa vyeo vya juu jeshini na wasaidizi wake wote wa Karibu akihofu "eti" wanataka kumpindua. Kuanguka na kushindwa kwake kukaanzia hapo !
Died CEO naye alizungukwa na "mazuzu" akawarahisishia Kazi team retired CEO.
yoga@jamiiforums.com uzi wako hakika unaeleweka.
Deep informal alielewa his assignmen well! Alijua jinsi the big boss anapendwa kutukuzwa so he ensured that kumtukuza is done 100 %[emoji1]
So kulikuwa na meeting kati ya the new boss na the old old boss, hii meeting ilikuwa inahusu tender ya invester mmoja mgeni toka west africa kutumia moja ya plots za kampuni kuwekeza kwenye kampuni kama bond ya uwekezaji wake!
This man from west africa alikuja alone with his private jet na assistant wake mmoja tu kunegotiate the deal! Aliitaka hii plot since iko sehem mzuri na inapotential kwa biashara yake ya saruji [emoji23]
Hii plot ili wahi kuchukuliwa na CEO wa 2010 - 2015 kutoka kwa CEO wa 2000 - 2005 tena in bard terms! So the meeting ilikuwa kwanza kurudisha ownership ya plot hiyo kwa the old CEO wa 2000 - 2005 then yeye ndio asign deal na tajiri from west africa kitu kilicho mkera sana the CEO of 2010 to 2015! Maana plot hiyo aliifanya kama yake!
So wakati meeting preparation zinaendelea our deep informal kumbuka yeye ndio planner wa event yote pale headqutors! Alichofanya katika zile protocal za kupokea wageni moja ya askari aliwekwa ndani specific kuhakikisha when The old CEO atakapo fika headquators basi anatimiza wajib wake
Huyu askari alikuwa na kitu inaitwa polonium 210, hii kitu huwa inatiwa kidogo tu kwenye chai, water or juice na always humuondoa mtu in between 25 to 30 days since amepewa! The guy anderstood the asignment!
The old CEO loved coffee, nahapo ndio nyudo ilipo pigiwa! So wakiwa wanamsubiri tajiri from west africa, agent anatimiza kazi yake. Mkutano baadae unakwenda vizuri, makubaliano yanakamilika na kinachobaki nikutia siganture tu!
Sasa bwana......., the old CEO katoka vizuri headquators six days after the meeting akaanza kutokujiskia vizuri[emoji22] akampigia simu kijana wake kumwambia toka ametoka hapo makao makuu he was not fine!! Kijana akaamua kumpeleka hospitali for full check up.
The doctor alifanya checkup was one of the secret agent kwenye cycle ya CEO wa 2010 - 2015 dawa za hapa na pale kuchengesha muda tuuuuuu, stage two hiyoooo ikaingia things got sereous, after 16 days he was no more![emoji22]
One man down ......one man down........... I repeat one man down........... !!!!!
New boss could not suspect enything since tukio limechezwa kwake na anapaamini 100% so he trusted doctors reports kumbe something big was on the way!!
Kwenye target board one mtoa kibri kwa our new CEO has gone! few to come!! These guys bana walikua sereous na jambo lao [emoji23][emoji23][emoji23]
New boss kwakuwa aliyemtoka ni mentour wake, na alisha kuwa CEO wa kampuni kama yeye, so alitaka mazishi makubwa, mazuri na ya heshima kumuenzi boss wake wazamani! So he called the his planner, kumbuka planner ndio deep informal!
After the successfullnes of the first mission now comes the second mission!!
Ukiskia kuuna ndege wawili au zaidi kwa jiwe moja ndio hii sasa!
Deep infomal akachora ramani zoote za remained target watako fika mazishini nyumbani kwa the late CEO. Ramani ikatua kwa the KING MAKER, vijana waka kaaa na kusuka the whole plan!
Targets kweli wakaenda ispokuwa mmoja tu. kilicho wakuta huko hao wengine no one noticed, baada ya kurudi, mmoja baada ya mwingine nikurudisha jezi kwa kipa[emoji23][emoji23][emoji23]
Now the new boss felt something un usual was goin on!! But it was tooooooooo late![emoji2957][emoji22]
Kashtuka he is alone,
Unamjua aliye baki? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].......
Nakuja..... Nalala kwanza ........
Sawa lakini Mbona kuna vitisho VYA CHINI chini VYA kumkatisha madaraka ya lady gaga!!??!!??kwani YEYE nae kako
sijui kwann nilikimbia shule
Ana kiherehere sana.Mkuu...umeenda mbali hiko..
mteteeni tu lakini lisemwalo lipo.Acheni kumsingizia na kumpaka tope mstaafu wetu Msoga. Vitu vingine tumieni akili, hivi inaingia akilini amuache miaka yote 6, halafu am terminate akiwa amebakiza miine? Ni upotoshaji, acheni ku make conspiracy theories kwa mzee Msoga.
Acheni apumzike. Ni kweli Jiwe alikuwa mgonjwa na ndio maana kuna rumors kuwa aliomba mpaka upako kabla hajafa, na alijijua kuwa alikuwa mgonjwa.
Narudia, acheni mzee apumzike msimpake shombo.
Na stori za hivi zipo nyingi sana kila mtu anaongea anachojua. Kwenye tukio lolote lile ni lazima conspiracy theories zinakuwa nyingi sana. Acheni hizo bhana,muacheni mzee msoga apumue, msimuonee mzee wa watu.
#StopConspiracyTheories
You made my day !Mtu anaambiwa pambana na Corona yeye anabaki anasema hii Ni Vita ya kiuchumiiiiiiii,Mara barakoa inafanana na titi moja la mwanamake lililokatwa.
Kilichofuata TBC Ni wimbo wa Taifa afu imeisha hio.
Mmmh kama kweli aliyafanya hayo lakini. Ila mzee Msoga hakufanya haya, anachafuliwa sana huyu mzee
Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Yule jamaa US aliua watu Iraq, Yemen, Syria nk. Nini kilimtokea? Au uliposem watu ndo ulimaanisha wazungu wa Ukraine tu ndio watu?Mimi ukiniuliza nini kilimuuwa old CEO nitakwambia jambo moja tu dam sio nzuri kuimwaga. Nadhani alipofikia ku eliminate watu wenye akili walijiongeza yani ukiuwa ujuwe utauwawa na hiki ndicho kimewakuta all killer. Angalia kinachoendelea hapo Ukraine huyo jamaa wa Russia msishangae kuamka asubuh amesha pumzika. Kitu anakifanya hapo Ukraine hakiwezi muacha tena atanie. Yani anajuwa siku zake zinahesabika. Yani kuuwa nijambo hatari sana kwa maisha yako pia.
Sawa mkubwa. Tumekuelewa.Vijana punguzeni ukali wa manene you are not safe like that
Luteni kanali ana nyota ngapi?Hahaha duuh ila kumbuka yule pamoja na kwamba ni mtoto wa vibarazani lakini ni mwanajeshi mstaafu tena luteni kanali na siyo watoto wa vibarazani wote wanaweza uanajeshi! So yuko tofauti na wale wakaa vibarazani wengine wanaoshinda wamevaa misuli!
Andika ueleweke, mafumbo yanini? Awamu ya kuogopana imeenda na maji. Kuwa muwazi ueleweke. Unaandika mafumbo mpaka mwenyewe unajichanganya. Si weka wazi tu majina na lichokikusudia kuandika.Kabla ya Uchaguzi boss alitaka amuweke mrithi wake kwenye kampuni yake, mrithi anayemtaka yeye. Ila kutokana na upinzani mkubwa ndani ya kampuni maamuzi magumu ilibidi yafanyike
Baada ya Uchaguzi kuna mtu alipata uongozi accidentally. Hakuwa chaguo la boss, alipewa sababu ya kuua kambi!
Big boss anayemaliza muda alifanya maamuzi hayo akiamini ataweza kum-control kwakuwa file lake analo na anamjua na amempa ili kunusuru mkatiko mkali kwenye kampuni.
Alijua ataleta umoja ndani ya kampuni. Mambo yalibadilika baada ya new boss kupewa kijiti na kukabidhiwa ofisi!
Alichofanya ni kutengeneza timu yake na kuondoa timu yote ya mtoa kijiti! Akaenda mbele zaidi kupitia files na kuanza kutindua maslahi ya mtoa kijiti kwenye kampuni!
Mbaya zaidi, akamfukuza mwenye kijiti, au the old boss kwenye kampuni anayoamini ni ya kwake na bila yeye haiendi!
The New Boss alipewa notification na maelekezo kuhusu mambo kadhaa mara kadhaa, ila aliskika akijibu, yeye ndio mwenye kijiti na hakuna wa kumpangia! Hataki maelekezo na kwanza haelekezeki!
Alijibu hivyo hadharani bila woga wala hofu! Kwakuwa alimjua adui ni nani! Alianza mpaka kutangaza kuwa kampuni ile sasa ni yake na chini yake inafanya makubwa sana, na wale wa zamani walikuwa wanaifilisi!
Haikuwa habari njema saaaana kwa mwenye kijiti kabla ya uchaguzi na backup system yake! Discussion zilifanywa mara kadhaaa kumjadili new big boss in town kumbe the new boss alikuwa anawarecord all the time!
Alichokifanya ni kuvujisha badhi ya convos za washirika wa adui mkuu kum-notify ironically kuwa anajua wanachomjadili na anajua hawampendi! Na amejipanga au ameji-sacrifise yupo tayari kwa lolote!
Shida ikaanza, after a discover kuwa deal za the old big boss zinazimwa na zinachukuliwa kwa nguvu na stakeholders wapya chini ya maelekezo ya the new big boss na stakeholders wa zamani wanatupwa nje ya ukuta!
Ikatisha zaidi baada ya boss mpya kutaka kuwa CEO wa milele! Na akapanga watu wa kuhakikisha hilo linakamilika!
The old boss akakaa chini, akafikiria akaona kama huyu 4 years tu kanifanya hivi je 20 years to come?
Muda ukaenda, the old boss played dead! But came up with a plan, involving the closest friend and the system in the company kama tunavyojua, the old the wine...... the fine it becomes!
The new Big boss kajichanganya during campaings za kuusaka u-CEO tena, akapigwa tukio, after Uchaguzi wa pili wa kampuni only three months akatema ndoano!
Msaidizi wake akaitwa chemba, maelekezo akapewa achukue kijiti, afanye reform mambo kwabu yanapaswa kurudi kama zamani!
Msaidizi kuangalia hali ilivyo, akaanza kurudisha the old structure kwenye kampuni! The only difference ni yeye ndio CEO but behind the scene there is another CEO!!
Let see will the new boss stick to the plan? or...
Itaendelea.......
Guess the company!??
Muendelezo Soma Dark days 17/03/20.…...
Angalizo: Story hii haihusiani na chochote Dark days 17/03/20...
Bibi Umzima, Sio kila simulizi ni ya kila mtu sisi tumemuelewa ndo mana unaona uzi upo na posts more than 600+Andika ueleweke, mafumbo yanini? Awamu ya kuogopana imeenda na maji. Kuwa muwazi ueleweke. Unaandika mafumbo mpaka mwenyewe unajichanganya. Si weka wazi tu majina na lichokikusudia kuandika.
Shule zingine za Tanzania ni majanga, mitihani kuanzia chekechea mpaka sasa mtu mzima na shughuli zako, mitihani imekukaa kichani unatupa sisi mtihani. Hizo ndio shule za kusomea ujinga, mmefinyangwa-finyangwa na mitihani mpaka bongo zimejitia loki, Funguka.
Hakuna asiyemuelewa lakini ndio huo ujinga wenyewe, shule za kusomea ujinga.Bibi Umzima, Sio kila simulizi ni ya kila mtu sisi tumemuelewa ndo mana unaona uzi upo na posts more than 600+
Punguza ujuaji juha wewe.Andika ueleweke, mafumbo yanini? Awamu ya kuogopana imeenda na maji. Kuwa muwazi ueleweke. Unaandika mafumbo mpaka mwenyewe unajichanganya. Si weka wazi tu majina na lichokikusudia kuandika.
Shule zingine za Tanzania ni majanga, mitihani kuanzia chekechea mpaka sasa mtu mzima na shughuli zako, mitihani imekukaa kichani unatupa sisi mtihani. Hizo ndio shule za kusomea ujinga, mmefinyangwa-finyangwa na mitihani mpaka bongo zimejitia loki, Funguka.