Video haifunguki mkuuMkitaka kujua nguvu ya ile kura 1 ya hapana aliyopata Dr. Samia rejea hesabu za Tumia akili,Magamba matatu na ndoto ya maharage ya ukweni.
Kauli zipi zinaungana mkuu?Mama anazungukwa kijanja na hawa wazee mr born town na mzee February: story ya [mention]yoga [/mention] imetupa mengi ukifatilia hawa wazee kwa umakini kuna dot znakuja + hizi kauli zao sema tusubir tuone wanasema haijaisha kama haijaisha kabisa
Namimi nimeshangaa.😂😂😂 Siasa bana dah! Bashiru anapiga makofi nae..
Siasa zina unafiki mwingi sana, unazungmza na mtu ila ana mkakati mmbaya kabisa juu yakoNamimi nimeshangaa.
🤣🤣[emoji15][emoji1666][emoji120]
Duh...yoga alizibuliwa, dont expect any more story from her, she is hospitalised nursing the injuries she sustained.
Kila nafsi itaonja mautiSiku ni moja tu kama tutakuwa hai tutaona nao wakigalalaga kaburini kama tulivyo galagala chatle
Sasa ya nini kumuambia mtu RIP?Pole
Yoga woyooo woyoo woyooooooooo. Pigs kelele moja kwa Yoga woyooooooooo[emoji15][emoji1666][emoji120]
Yaani alifika 2025 hayupo wa kumpinga, mwingine asema akifa b4 2025 tutapata mwingine.Kuna watu wanajadili kauli yake ya kusema wazuri hawafi. Lakini wenye akili tunajadili between the lines, hapo Kuna namna huyu mama hatoboi 2025 nadhani amefikishiwa ujumbe.
Amepewa muda wa matazamioHiuo kauli ya kikwete sasa ndo imeonesha nani ni rais wa Tz.
"... labda kama mambo yataharibika sana kati ya sasa na wakati huo, 2025......."
Ina mambo kuna mambo yameharibika na yanaendelea kuharibika.
Yasipoharibika sana, ataendelea kuwa rais na yakiharibika sana, urais ndo basi.
Kuna ile clip humu jamvini inasema justice mwakani mwezi mei!!Yaani alifika 2025 hayupo wa kumpinga, mwingine asema akifa b4 2025 tutapata mwingine.
Uchuro, Uchuro, Uchuro,
Heri kijana mwenye BUSARA kuliko Mzee MPUMBAVU The bible says!!!!
God has remembered our nation Tanzania.
Justice is coming, Ameeeen.
Matapeli wa injili hawa.Sikiliza hii vide dk flani hivi.. Unganisha dots.. Changanya na za hapa
SawaMatapeli wa injili hawa.
Kauli za wazee wale ni tishio Kwa USALAMA wa Nchi, Tumaini El ameshawaonya.Kuna ile clip humu jamvini inasema justice mwakani mwezi mei!!
Eti all phone calls, messages and other evidences out!!
Sasa nikaunga dots na senior wa jana na juzi alivolopoka kwamba "wazee tukasema hapana"
Nikajua tu kweli kuna evidences ambazo zitamgusa malkia wa sheba na italazimika aachie uenyekiti wa mboga mboga halafu kanda ile itapiga kura ya Mwenyekiti Mpya wa mbogamboga ndipo huyo FDR atapenyezwa kitalani!! Na miaka 12 itatamalaki!!
Mawazo HURU HAYA baada ya ku digest upepo unaovuma kwa Kasi Sana!!
Zile ni hasira za kuuangukia pua unec!Kauli ya wazee dawa. Asante jk born in town na mzee wetu makamba na kinana.
Kweli mkuu,uko sahihi,ukifikifikiria kwa makini taarifa zote zile hadi mtu anavyowaza akilini mwake awe nazo mtuvmmoja,Big nooo....Wewe Nani kakudanganya Jambo kama hili anaweza kufanya MTU mmoja?yaani taarifa kama hizi awe nayo MTU mmoja tumia akili.hiki ni kikundi cha watu.
Karibu Namanyere huku napita njia ya mkato kwenda Kazuramimba kuandaa suitKuna ile clip humu jamvini inasema justice mwakani mwezi mei!!
Eti all phone calls, messages and other evidences out!!
Sasa nikaunga dots na senior wa jana na juzi alivolopoka kwamba "wazee tukasema hapana"
Nikajua tu kweli kuna evidences ambazo zitamgusa malkia wa sheba na italazimika aachie uenyekiti wa mboga mboga halafu kanda ile itapiga kura ya Mwenyekiti Mpya wa mbogamboga ndipo huyo FDR atapenyezwa kitalani!! Na miaka 12 itatamalaki!!
Mawazo HURU HAYA baada ya ku digest upepo unaovuma kwa Kasi Sana!!