Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Mama anazungukwa kijanja na hawa wazee mr born town na mzee February: story ya [mention]yoga [/mention] imetupa mengi ukifatilia hawa wazee kwa umakini kuna dot znakuja + hizi kauli zao sema tusubir tuone wanasema haijaisha kama haijaisha kabisa
Kauli zipi zinaungana mkuu?
 
Kuna watu wanajadili kauli yake ya kusema wazuri hawafi. Lakini wenye akili tunajadili between the lines, hapo Kuna namna huyu mama hatoboi 2025 nadhani amefikishiwa ujumbe.
Yaani alifika 2025 hayupo wa kumpinga, mwingine asema akifa b4 2025 tutapata mwingine.

Uchuro, Uchuro, Uchuro,

Heri kijana mwenye BUSARA kuliko Mzee MPUMBAVU The bible says!!!!

God has remembered our nation Tanzania.

Justice is coming, Ameeeen.
 
Hiuo kauli ya kikwete sasa ndo imeonesha nani ni rais wa Tz.

"... labda kama mambo yataharibika sana kati ya sasa na wakati huo, 2025......."

Ina mambo kuna mambo yameharibika na yanaendelea kuharibika.

Yasipoharibika sana, ataendelea kuwa rais na yakiharibika sana, urais ndo basi.
Amepewa muda wa matazamio
 
Yaani alifika 2025 hayupo wa kumpinga, mwingine asema akifa b4 2025 tutapata mwingine.

Uchuro, Uchuro, Uchuro,

Heri kijana mwenye BUSARA kuliko Mzee MPUMBAVU The bible says!!!!

God has remembered our nation Tanzania.

Justice is coming, Ameeeen.
Kuna ile clip humu jamvini inasema justice mwakani mwezi mei!!

Eti all phone calls, messages and other evidences out!!

Sasa nikaunga dots na senior wa jana na juzi alivolopoka kwamba "wazee tukasema hapana"

Nikajua tu kweli kuna evidences ambazo zitamgusa malkia wa sheba na italazimika aachie uenyekiti wa mboga mboga halafu kanda ile itapiga kura ya Mwenyekiti Mpya wa mbogamboga ndipo huyo FDR atapenyezwa kitalani!! Na miaka 12 itatamalaki!!

Mawazo HURU HAYA baada ya ku digest upepo unaovuma kwa Kasi Sana!!
 
Kauli za wazee wale ni tishio Kwa USALAMA wa Nchi, Tumaini El ameshawaonya.
 
Kuna ile clip humu jamvini inasema justice mwakani mwezi mei!!

Eti all phone calls, messages and other evidences out!!

Sasa nikaunga dots na senior wa jana na juzi alivolopoka kwamba "wazee tukasema hapana"

Nikajua tu kweli kuna evidences ambazo zitamgusa malkia wa sheba na italazimika aachie uenyekiti wa mboga mboga halafu kanda ile itapiga kura ya Mwenyekiti Mpya wa mbogamboga ndipo huyo FDR atapenyezwa kitalani!! Na miaka 12 itatamalaki!!

Mawazo HURU HAYA baada ya ku digest upepo unaovuma kwa Kasi Sana!!
Karibu Namanyere huku napita njia ya mkato kwenda Kazuramimba kuandaa suit
 
Back
Top Bottom