Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawasawa..Kwa Jk si tuliambiwa hivi hivi Hadi ccj ikaanzishwa ila ikawaje? Same to enzi za JPM tukaambiwa CCM imepasuka ila mwishowe Kinana na January wakaomba msamaha kwa goti.
Narudia Tena ndani ya CCM na so called deep state hakuna wa kum-challenge mwenyekiti wa CCM chini ya hii katiba.
WordMatamanio ya wanadamu si ya M/Mungu. Hakuna mtu wa kumsogeza Dr. Chief. Na mwenyekiti wa kampuni kwenye kiti.
Up to the day anahitajika na katiba kupumzika.
Yeyote anayechukua lolote lililotokea b4 kama reference, asisahau kwamba CEO late alikuwa ameanzisha mkakati na hatua za kutengua katiba ili atawale miaka 20.
Ila Current CEO hana mpango huo. So sio tuu Mungu wala jua na vyote vinamlinda na kumtetea Day and 9it. Hata akienda kulala stand ya bus ya.. .....!
Mark these words. Till the end of the time.
Hizi story, wengine mara aliandaa mtu wake ili awe raisi 2025, Mara alimuandaa bashiru, Mara yeye alitaka kutawala miaka 20. Sasa kama alitaka kutawala miaka 20, zile story za kumuandaa bashiru ili agombee 2025 zilitoka wap?Matamanio ya wanadamu si ya M/Mungu. Hakuna mtu wa kumsogeza Dr. Chief. Na mwenyekiti wa kampuni kwenye kiti.
Up to the day anahitajika na katiba kupumzika.
Yeyote anayechukua lolote lililotokea b4 kama reference, asisahau kwamba CEO late alikuwa ameanzisha mkakati na hatua za kutengua katiba ili atawale miaka 20.
Ila Current CEO hana mpango huo. So sio tuu Mungu wala jua na vyote vinamlinda na kumtetea Day and 9it. Hata akienda kulala stand ya bus ya.. .....!
Mark these words. Till the end of the time.
Secret now is top secret. Keep coolKabla ya Uchaguzi boss alitaka amuweke mrithi wake kwenye kampuni yake, mrithi anayemtaka yeye. Ila kutokana na upinzani mkubwa ndani ya kampuni maamuzi magumu ilibidi yafanyike
Baada ya Uchaguzi kuna mtu alipata uongozi accidentally. Hakuwa chaguo la boss, alipewa sababu ya kuua kambi!
Big boss anayemaliza muda alifanya maamuzi hayo akiamini ataweza kum-control kwakuwa file lake analo na anamjua na amempa ili kunusuru mkatiko mkali kwenye kampuni.
Alijua ataleta umoja ndani ya kampuni. Mambo yalibadilika baada ya new boss kupewa kijiti na kukabidhiwa ofisi!
Alichofanya ni kutengeneza timu yake na kuondoa timu yote ya mtoa kijiti! Akaenda mbele zaidi kupitia files na kuanza kutindua maslahi ya mtoa kijiti kwenye kampuni!
Mbaya zaidi, akamfukuza mwenye kijiti, au the old boss kwenye kampuni anayoamini ni ya kwake na bila yeye haiendi!
The New Boss alipewa notification na maelekezo kuhusu mambo kadhaa mara kadhaa, ila aliskika akijibu, yeye ndio mwenye kijiti na hakuna wa kumpangia! Hataki maelekezo na kwanza haelekezeki!
Alijibu hivyo hadharani bila woga wala hofu! Kwakuwa alimjua adui ni nani! Alianza mpaka kutangaza kuwa kampuni ile sasa ni yake na chini yake inafanya makubwa sana, na wale wa zamani walikuwa wanaifilisi!
Haikuwa habari njema saaaana kwa mwenye kijiti kabla ya uchaguzi na backup system yake! Discussion zilifanywa mara kadhaaa kumjadili new big boss in town kumbe the new boss alikuwa anawarecord all the time!
Alichokifanya ni kuvujisha badhi ya convos za washirika wa adui mkuu kum-notify ironically kuwa anajua wanachomjadili na anajua hawampendi! Na amejipanga au ameji-sacrifise yupo tayari kwa lolote!
Shida ikaanza, after a discover kuwa deal za the old big boss zinazimwa na zinachukuliwa kwa nguvu na stakeholders wapya chini ya maelekezo ya the new big boss na stakeholders wa zamani wanatupwa nje ya ukuta!
Ikatisha zaidi baada ya boss mpya kutaka kuwa CEO wa milele! Na akapanga watu wa kuhakikisha hilo linakamilika!
The old boss akakaa chini, akafikiria akaona kama huyu 4 years tu kanifanya hivi je 20 years to come?
Muda ukaenda, the old boss played dead! But came up with a plan, involving the closest friend and the system in the company kama tunavyojua, the old the wine...... the fine it becomes!
The new Big boss kajichanganya during campaings za kuusaka u-CEO tena, akapigwa tukio, after Uchaguzi wa pili wa kampuni only three months akatema ndoano!
Msaidizi wake akaitwa chemba, maelekezo akapewa achukue kijiti, afanye reform mambo kwabu yanapaswa kurudi kama zamani!
Msaidizi kuangalia hali ilivyo, akaanza kurudisha the old structure kwenye kampuni! The only difference ni yeye ndio CEO but behind the scene there is another CEO!!
Let see will the new boss stick to the plan? or...
Itaendelea.......
Guess the company!??
Muendelezo Soma Dark days 17/03/20.…...
Angalizo: Story hii haihusiani na chochote Dark days 17/03/20...
Kabla ya Uchaguzi boss alitaka amuweke mrithi wake kwenye kampuni yake, mrithi anayemtaka yeye. Ila kutokana na upinzani mkubwa ndani ya kampuni maamuzi magumu ilibidi yafanyike

Hahaha17/3/2023 new episode [emoji23][emoji23]
Tutaambiwa waliokataa uteuzi, na kinyang'anyiro cha 2025 hahaha
Huyu Yoda na Yoga wanahusiana?Pamoja na idara zetu kuwa makini hawakuusoma mchezo hatari Zambia ulio leta maangamizi kwa serikali
Kweli mkuu?Yoga alishakufa
Kitambo tulimzika makaburi ya Sinza ntaleta picha za mazishi yakeKweli mkuu?
Kwamba tusahau kuhusu yoga kurudi na episode zingine?Secret now is top secret. Keep cool
Kitambo tulimzika makaburi ya Sinza ntaleta picha za mazishi yake
Daah.[emoji24][emoji24]Daah alikuwa ni wa kike?je aliumwa au kifo cha namna gani?
Yoga atarudi kusimulia soon, nimeliona Hilo likitokea.Kitambo tulimzika makaburi ya Sinza ntaleta picha za mazishi yake
Achana na huyo mbwa koko anapotosha.Daah alikuwa ni wa kike?je aliumwa au kifo cha namna gani?