Program Manager
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 2,763
- 3,955
OkayAlisema toka mwaka jana mwendelezo ni tarehe 20/03/2023
I guess atatoa 18/3/23Alisema toka mwaka jana mwendelezo ni tarehe 20/03/2023
Kuna mtu anafanya ulozi umepitiliza ila Mungu tupo ataiponya Nchi yetuDark Days...
Loading...
AiseeKuna mtu anafanya ulozi umepitiliza ila Mungu tupo ataiponya Nchi yetu
Mnampaisha sana kichwa huyo yoga, hana lolote zaidi ya ujinga tuyoga unashusha lini mzigo?
Sis ni wajinga wenzake na tunakubaliana nae. Wewe mwerevu pita kule, achana na sisi.Mnampaisha sana kichwa huyo yoga, hana lolote zaidi ya ujinga tu
Sis ni wajinga wenzake na tunakubaliana nae. Wewe mwerevu pita kule, achana na sisi.
Kanisa litatakaswa upya na ndelemo na vifijo vitapigwa kila kona nchi.Kwani tarehe 20 March kuna nini? Nikumnushemi tafadhali...
Fafanua "litatakazwa" ndo nn?Kanisa litatakazwa upya na ndelemo na vifijo vitapigwa kila kona nchi.
Samani, kuna kosa la kiuandishi. Nikusudia "kutakaswa" baada ya mlevi kuharibu vitu ndani yake. Hata hivyo ilikuwa utani tu mkuuFafanua "litatakazwa" ndo nn?
AmenThere is dark clouds in spiritual realms.. Very dark indeed.
Ata post hiyo tar 20 kama 17 itavukwa salama.
Let's all in oneness pray, cast out and rebuke all bad and negative energies in the name of the most Higher.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sterling wetu BT umeona ana Hali Gani mwonaji?There is dark clouds in spiritual realms.. Very dark indeed.
Ata post hiyo tar 20 kama 17 itavukwa salama.
Let's all in oneness pray, cast out and rebuke all bad and negative energies in the name of the most Higher.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiongoz mkuu Leo katua southafrica na kulakiwa na watanzania...let's waitBT umeona ana Hali Gani mwonaji?
Ni jambo la Afrika at large, Sio la hapa kwetu. Ni ishu ambayo Africa inatakiwa kuwa na kauli moja. Na kusimama dhidi ya hila zozote.. La sivyo Nchi na Watu watapoteana.BT umeona ana Hali Gani mwonaji?