Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Bas Yoga kama mjinga mm nitakua mjinga Zaid yake maana namkubali Sana kulko we na akili zako mgando

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Unanionea mkuu. Nilikuwa namjibu mtu mmoja aliyesema tunampaisha yoga wakati hana chochote zaidi ya ujinga. Nikamwambia sisi tunaukubali ujinga wake. Yeye mwerevu apite kule.
 
Yoga, there is a document link wanna share with you ; Very crucial and it has a lot of information, please unlock the PM and Accept my request.

Much appreciated brother ! Tunajua JPM alidhulumiwa madhuluma and it is time now to spill out the beans.

Tushirikiane
Wewe andika uzi wako bhana
Afungue PM ili iweje
 
Hakuna balance yoyote kwa mwenda...ke maovu yalimlemea pesa ya kampuni alijigawia bila vikao, watu walifukuzwa bila malipo eti vyeti feki wakati yy alihojiwa akamuua ben8
Kila siku kutumbua hakujua Kuna familia wanaumia
Bei yy ndiye alidanganya eti umeme 27,000, hata kwa kwa k game na M7 sio hivyo naona muhamie huko mnaoumia
bora wajanja walimuwahisha na wengine tutafuata lkn angalau amani ipo Sasa hata humu JF
Itakuwa aliugusa mfereji wako wa ridhiki.chuki yako ni nzito sana na Shukrani Kwa mazuri si sehemu yako.

Narudi offline nikiguswa na comment nitarudi online
 
Maeneo yanayotajwa ndo Pana Malango ya kuzimu, so kipigo hakiepukiki.

Nilikwambia habari ya Mungu kuja kukikalia KITI hapa NYIKANI ukauliza ni lini,

Muda ndo huu, yaani kuanzia mwaka huu 2023 na kuendelea ni bandika bandua.

Turudi msalabani, TUOMBE TOBA na REHEMA Ili Mungu atuponye sisi na family zetu, bt kipigo Kwa waovu Kiko pale pale.

Ili Mungu akae kitini vizuri,lazima awasafishe waovu, hawezi tawala na waovu, Mungu ni mtakatifu.

Maombi ya watakatifu ndo yanasaidia Hali tuliyonayo, tofauti na hapo,

Malaika akiliachilia JIWE aliloshikilia juu ya Bahari, Dar yote Hadi bagamoyo itamezwa na Bahari, maana hapo ferr na b.moyo ndipo yalipo malango ya kuzimu na makafara ya watu wasio na HATIA hufanyika.
Makafara ya watu wasio na hatia? How?
 
taking over, days in dark, dip dark dip dip state......................
 
Handing over the business, orienting freshers, its an open sea and cool, all are soft.
Yes, they are friends and big bananaz, thinking in different way and far away forward with big brains

We cheers and popping together, but they did again alone and in dark.
 
bahari imetulia hakuna mawimbi tena, hahahaaha kila mkubwa ana mkubwa.
dip in dark, there is big brains (not these one), the project is smoothing and soon the ship will anchor.
Anchoring in someone dock and re-register in his flag with full control remotely operated bridge.

Steam za bhangi hii ninayovuta kutoka Ecuador ni kali sana.
 
Vibwengo wametulia, Kasia linapigwa gizani, Vibwengo hawaelewi wanaona maruweruwe tu.
hahahahaha, Baba karudi sasa, yule kulee mbali gizani anapiga kasia kwenye uelekeo wake.

Hela tamu bwana, My friend Ghadafi was slaughtered at Sirte, Nimemuandikia Nicholous huyu huyu Sakhosy wa French Africa alipe lile deni letu ambalo kaka yake Chirac analijua.
Africa hatuleti tena vifaru, tunatupa tu ndoano na chambo.
 
Huyo baba aliyerudi anayepiga kasia mbali gizani ni BT au yule mwenye msalaba mkubwa pale vaticanino au Odii?
 
bahari imetulia hakuna mawimbi tena, hahahaaha kila mkubwa ana mkubwa.
dip in dark, there is big brains (not these one), the project is smoothing and soon the ship will anchor.
Anchoring in someone dock and re-register in his flag with full control remotely operated bridge.

Steam za bhangi hii ninayovuta kutoka Ecuador ni kali sana.
Unaamini maridhiano yatasababisha Bahari kutulia?

Naskia underground uji wa moto unafukuta kule Kwa mpemba!!
 
Banafsi hii thread ningeomba mods waifute. Sababu kubwa ipo.
Watu wengi hawajui kanuni kuwa 'walioshindwa njia panda ukijifanya upande wao utawapeleka pande unayoitaka'.
Mkumbuke Tz hii kabla jina lako halijaingizwa kwenye kinya'nganyiro Cha urais huwa linapitiwa na watu gani kwanza.

MAGUFULI4LIFE.
 
Tafuta uzi mmoja wa Mshana anazungumzia kuhusu mbengu inayotungwa kipindi mama anapata ujauzito, ameelezea jinsi shetani anavyoiwahi na kupandikiza roho yake na mtoto akizaliwa anakuwa na tabia za ajabu ajabu.

Ni vizuri wana ndoa kabla ya kupata mtoto wawe makini katika kuomba na kutakasika ili shetani asipate nafasi ya kuvuruga kizazi.

Chunguza familia nyingi kuna baadhi ya mtoto/watoto wanatofautiana sana tabia na matendo mpaka wanafikia kujiuliza hivi huyu ni ndugu yetu/zetu kweli?

Yaani kama ni mwizi, ni mwizi kweli kweli, mgomvi, roho mbaya, tabia chafu, jambazi sugu, mwingine ana nguvu za ajabu akianza kupigana kuanzia asubuhi hadi jioni..n.k

Kwahiyo kuna uhusiano na alichokisema mdau japo kuna ambao ni malaika wanashuka kweli katika umbo la kibinadamu na wengine wanazaliwa kawaida, wanaweza kuwa hawajui wanapokuwa wadogo lakini wakishafikia umri/muda wa kuanza kazi ndipo ujulishwa mission yao na wao ni akina nani.

Mambo ni mengi.
Na mimi naongezea; Ukitaka watoto wako wasikusikilize na kukufuata mema unayowafundisha,waogeshe,wavike na uwalishe batili.

MAGUFULI4LIFE.
 
Narudia tena,

Utabiri wa yatakayojiri 2023 ulitoa timeframe ya kuanzia 20 Oct Hadi 20 March 2023,

Yoga akaahidi kuendeleza simulizi 20 March 2023,

Kinyaa, Kwa Madiba, Nigerriae, Morroco pia wanafanya demonstration on 20 March.

Je ni coincidence?
 
Vibwengo wametulia, Kasia linapigwa gizani, Vibwengo hawaelewi wanaona maruweruwe tu.
hahahahaha, Baba karudi sasa, yule kulee mbali gizani anapiga kasia kwenye uelekeo wake.

Hela tamu bwana, My friend Ghadafi was slaughtered at Sirte, Nimemuandikia Nicholous huyu huyu Sakhosy wa French Africa alipe lile deni letu ambalo kaka yake Chirac analijua.
Africa hatuleti tena vifaru, tunatupa tu ndoano na chambo.
He is going to fall.
 
Back
Top Bottom