Maeneo yanayotajwa ndo Pana Malango ya kuzimu, so kipigo hakiepukiki.
Nilikwambia habari ya Mungu kuja kukikalia KITI hapa NYIKANI ukauliza ni lini,
Muda ndo huu, yaani kuanzia mwaka huu 2023 na kuendelea ni bandika bandua.
Turudi msalabani, TUOMBE TOBA na REHEMA Ili Mungu atuponye sisi na family zetu, bt kipigo Kwa waovu Kiko pale pale.
Ili Mungu akae kitini vizuri,lazima awasafishe waovu, hawezi tawala na waovu, Mungu ni mtakatifu.
Maombi ya watakatifu ndo yanasaidia Hali tuliyonayo, tofauti na hapo,
Malaika akiliachilia JIWE aliloshikilia juu ya Bahari, Dar yote Hadi bagamoyo itamezwa na Bahari, maana hapo ferr na b.moyo ndipo yalipo malango ya kuzimu na makafara ya watu wasio na HATIA hufanyika.