Dark days 17/03/20...

Wanafanya hvyo ili wasiweze kufatiliwa mkuu,
 
Huyo mzee alieshindwa na tolu sio huyu aliendamaana juzi na wenzake?
 
Who is Mr Tanzanite, who is Mr Freedom? Mana nilikua najua Mr Freedom is from neighboring company but now nasoma tena anatakankupewa uPM nachanganyikiwa kidogo hapa[emoji28]
Okh poa mr freedom ni huyo wa kampuni jirani huyo ni Mr new culture labda kama kabadili code kuwa mr freedom kuendana na free man!! Soma maudhui ya story!
 
Endeleza basi mkuu...alosto inatuuwa, kila saa tunachungulia...
 

Hapana bwana [emoji16][emoji16][emoji16] this weekend ni bampa to bampa
Yoga unaonekana ni ni ww ni god mother wa intelligence emotions asee hupaniki,umelerax na upo very organised
 
Ahaaa so katibu wa masanja(tumia akili) na pacha hawakufanya hiki unachokisema? Unaongea nini wewe?

So hukusikia sabuni ya roho 189? Unadhani zilikuwa za kazi gani? Come oon!!
Naomba kuweka sawa kwanza, mimi ni mpenzi kindaki Ndaki wa mr late tokea enzi hizo, sijawahi kuwa against nae kamwe.


Hoja yangu ni kwamba falsafa yake ile ya ku coordinate company ambayo kwa vyovyote vile ilikua nzuri, ili muweka mbali na taarifa zisizo rasmi lakini ni rasmi, tunaweza kuziita umbea.

Situation yote ilivyo kuwa mpaka ikawa vile, asingekosekana mbea mmoja kutoka kwa BT team wa kutoa umbea what goin on about him .

Masanja secretary anaweza kuwa na info lakini kwa kuwa yupo out of team zisingetosha kuwa na Heavy nje ya bt team member.
 
Ahaaa so katibu wa masanja(tumia akili) na pacha hawakufanya hiki unachokisema? Unaongea nini wewe?

So hukusikia sabuni ya roho 189? Unadhani zilikuwa za kazi gani? Come oon!!
code ya katibu wa masanja tafadhari
 

kuna sehemu umesema second born town sjuinborn town mdogo
nmechekaaa[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…