Dark days 17/03/20...

Ile episodi ya kwanza ilikuwa inaeleweka na ilikuwa una ukweli fulani ila hii ya sasa hakuna kitu. Ni story za abunusi tu. Who is BT katika nchi na dunia hii? Hiyo mamlaka ya kumtishia Amiri jeshi wa nchi kaitoa wapi?
Kuna watu nje ya watu, kuna milima nje ya milima, kuna mbingu juu ya mbingu......

Yaani vile unavyofikiri wewe ni superior kuna zaidi yako.... kila unachofikiri wewe ni zaid ujue kuna hidden dragon wanakuchora tu....
 
Ile episodi ya kwanza ilikuwa inaeleweka na ilikuwa una ukweli fulani ila hii ya sasa hakuna kitu. Ni story za abunusi tu. Who is BT katika nchi na dunia hii? Hiyo mamlaka ya kumtishia Amiri jeshi wa nchi kaitoa wapi?
Mkuu, hii ni simulizi tu, sasa unataka kumpangia msimuliaji aweke maudhui, wahusika na hata jukwaa yaendanayo na hisia zako!?
 
No Mr freedom In Ex ceo wa kampuni jirani
Mr culture ndio mr reconciliation
Na kijana msema kweli ni lukaku homeland

Hiyo lukaku mbona inanishinda .. msaada au hata inbox.. niliekua namdhania kumbe sie
 
Ile episodi ya kwanza ilikuwa inaeleweka na ilikuwa una ukweli fulani ila hii ya sasa hakuna kitu. Ni story za abunusi tu. Who is BT katika nchi na dunia hii? Hiyo mamlaka ya kumtishia Amiri jeshi wa nchi kaitoa wapi?
Unajipa pressure sana mkuu
Mwenyewe alisema ni story tu km story nyingine
Sa sijui ep1 ilikuwa na ukweli upi
 
Amaizing sana mkuu….unapita mule mule…
 
Na mimi ngoja nipige ramli chonganishi leo hii.

Katika toleo lijalo la simulizi ya Yoga huenda shinikizo la BT na washirika wake katika kuhakikisha uwepo wa new culture likachukua sehemu kubwa. Hii ni kwa kuwa ithibati inaoyesha kuwa incumbent CEO hana hiana na hilo isipokuwa wahafidhina ndani ya kampuni na katika idara yake ndiyo wanasita kuridhia kwa uwazi.

Msaidizi wa CEO mwenye dhamana ya mambo ya culture Dkt. Dandu ameshaweka hadharani taarifa hii kwa umma kwa kusema kuwa mchakato wa new culture pamoja na maboresho ya sehemu za culture zinazohusu idara za kampuni unatarajiwa kuanza kufanyiwa kazi baada kupitishwa kwa makadirio ya mapato na matumizi ya kitengo chake cha culture kwa mwaka wa fedha 2023/2024
 
Ni kweli BT amepanic shamba la miwa mvua hainyeshi.

Pepopunda haichukui tairi la gari na kanisa lote. Watoto wa njiwapori wamekata breki mpaka jembe limelima.

Mkuu wa Kanisa Katoliki amekataa kata kata. Ha ha ha Mlimani City jumapili kuku wametoka bandani.

Yoga leta kitu mama, vichwa vyetu ni kama Ubongo umecurugika. Shuka vitu Yoga
 
Tena anachota kitemi na hakuna wakumgusa badala yake kwa hofu wanamuuliza "vipi mkuu tukuongezee"!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…